Hebu Mswalie kwanza, na unywe maji glass 2 !! mmmh naona leo unachanganya kwa hasira!!
Nimekuelewa, wacha nitulie vinginevyo huyu mwaume mwenzenu tutumzalisha kwa tabia hizo.
mwambieni akamlale kwanza mama yake!si aliapa akimrudia hatomrudia mkewe labda amlale mama yake!wanaropokaga tuu maneno makali kumbe hawajui huwa wanajilaani wenyewe!
Ndio amezaa nae mtoto mmoja na alisema yeye mzaramu hawezi kua na mtoto mwenye singa kwahiyo mtoto sio wake.
OMG !!Nimekuelewa, wacha nitulie vinginevyo huyu mwaume mwenzenu tutumzalisha kwa tabia hizo.
moto hauzimwi kwa moto.... tumia maji ili ipatikane suluhu !! hapo yupo mwanawe damu yake ambao huwaita wajomba,mmama mdogo/mkubwa na bibi na babu !!
Nataka Nijue,huyo Mwanaume Alikuwa Mwarabu Au Mzaramo? Kama Ni Mwarabu Na Yeye,basi Dhambi Ya Ubaguzi Inawatesa Na Huko Uarabuni Mdogo Wenu Ataachika Tena,ila Kama Mwanaume Ni Mweusi,hiyo Siyo Dhambi,na Kamwe Dada Yenu Asimrudie,na Nyie Niwaulize,tangu Lini Mwanaume Mzima Apewe Mke Na Mali Juu? Ilikuwa Hakuna Cha Mtaji Nyumba Wala Gari,nyie Mmetoa Vyote,mke Bure,nyumba Bure,gari Bure,ndo Maana Aliwaona Wajinga Sana,siku Nyingine Mkome Na Mjifunze,halafu Mkaendeleza Ubaguzi Ule Ule Kwa Kumpeleka Mdogo Wenu Uarabuni Ili Akaolewe Na Waarabu Wenzenu,kwa Hiyo Hapa Tanzania Hakunaga Waoaji Hadi Uarabuni,yaani Nyie Na Wahindi Ni Wabaguzi Sana,nilikaa Na Wahindi Na Waarabu Pia,nawajua Vizuri Mno,tabia Zenu Za Kibaguzi Zitawagharimu Sana Maishani,huwa Mnajiona Hamstahili Kuchanganya Damu Na Weusi,hadi Mnafikia Hatua Ya Kuoana Kindugu Ili Kwepa Mtu Mweusi,dhambi Mbaya Sana Hiyo Mbele Za Mungu.
OMG !!
moto hauzimwi kwa moto.... tumia maji ili ipatikane suluhu !! hapo yupo mwanawe damu yake ambao huwaita wajomba,mmama mdogo/mkubwa na bibi na babu !!
Tutamlelea mtoto wala asipate tabu,yeye alisema kua mzaramu tangu lini akazaa mtoto wa Kiarabu huyo mtoto atakua wa Bakhressa au wa Manji lakini yeye sie,leo hii tena anataka mwanawe mbona tushampeleka kwa Babake na amempokea kwa furaha na amani..
Ameshamalizana nae atabakia kua mzazi mwenzie tuu.
FYI, hapo mmekosea kdg.!!Tutamlelea mtoto wala asipate tabu,yeye alisema kua mzaramu tangu lini akazaa mtoto wa Kiarabu huyo mtoto atakua wa Bakhressa au wa Manji lakini yeye sie,leo hii tena anataka mwanawe mbona tushampeleka kwa Babake na amempokea kwa furaha na amani..