Kaja kuomba samahani bila aibu

Kaja kuomba samahani bila aibu

Shosti hajifunzi yule mshezi wa tabia sana,unaweza kuamini mdogo wetu anakuja nyumbani kuna harusi ya kaka yetu anaoa anakuja na mwanamke mwengine anasema sheria wanne kama si jeuri yakikwao nini.. naende afike......

inaelekea mlinuendekeza sana akawaona mko desparate mdogo wenu kuwa na sratus ya ndoa..lol...iyo nyumba aliopewa mdg wako kabaki nae yeye?
 
Wee weee hauna ngumi mpaka uyo kidume anajitawala mpaka hom kwenu, mi kuna jamaa walikua wanakuja na gari hom wanamchukua dogo, mama anawachekea, sista anawachekea tu, nlivorudi likizo nkapata stori, nkampiga biti dogo awambie waume zake wakija tena hom waje na hela ya parking na TP, wakizingua mi ntachoma moto kigali chao haiwezekani si tuhangaike kusomesha halafu wengine watuharibie watoto kijingajinga. Ko huyo jamaa mpaka anapita getini hadi anaingia sebuleni kwenu angechafuka sema mlisamehe sana
 
Namuanzaje mzaramu yule kwa mdomo wake! lakini mungu analipa humu humu duniani,raha zote zimekwisha mpaka purfume tulikua tuna mnunulia akatuona wajinga leo eti nilirogwa ..
 
Mimi mwanzo nilielewa ila imefika wakati network ya kichwa imepotea kuhusu mtoto, sijaelewa kabisa mtoto wa nani.
Mtoto wa mdogo wangu namezaa na huyu jamaa wakizaramu,lakini yule bwana raha za nje zilivyo mkolea ndio akasema mtoto ni mwarabu sio wake mtoto wa Maji au wa Bkhressa alivyokua na mdomo mchafu kama karo la choo..
 
Nimekusoma vizuri sana maelezo yako ila nina swali kabla sijatoa ushauri wangu
Swali langu ni je wakati huyu jamaa anamtimua mkewe je alimpa talaka?
Kama jibu ni ndio basi uamuzi wa kurudi mkewe au la anao huyo mtalaka wake nyie chakufanya mwambieni mwenzio hayupo amesafiri ila namba yake aya simu hii hapa ongea nae
Kama hakumpa talaka basi mkae mkijua kwamba huyo mwanamke bado ni mkewe
 
inaelekea mlinuendekeza sana akawaona mko desparate mdogo wenu kuwa na sratus ya ndoa..lol...iyo nyumba aliopewa mdg wako kabaki nae yeye?
Tulimpa maisha asijione tofauti na Waume wenzie kumanisha waume zetu wala Kaka zetu,holiday tunampeleka na mdogo wetu alikua mshamba wakutosha,alipojua kuishika pesa basiiiiiiiii mwanamme yeye..
 
nyumba aliopewa zawadi ndugu yenu mlimuachia?ipo wapi?
 
Mtoto wa mdogo wangu namezaa na huyu jamaa wakizaramu,lakini yule bwana raha za nje zilivyo mkolea ndio akasema mtoto ni mwarabu sio wake mtoto wa Maji au wa Bkhressa alivyokua na mdomo mchafu kama karo la choo..
@apologise lady

Hapo DNA ilitakiwa kuthibitisha, ili afunge domo lake !! Halafu tatizo shemu yenu hakusoma..maana urithi wa damu ya mtoto ni wa babu saba (7) moja kwa moja atakuwa mwarabu !!
 
Nimekusoma vizuri sana maelezo yako ila nina swali kabla sijatoa ushauri wangu
Swali langu ni je wakati huyu jamaa anamtimua mkewe je alimpa talaka?
Kama jibu ni ndio basi uamuzi wa kurudi mkewe au la anao huyo mtalaka wake nyie chakufanya mwambieni mwenzio hayupo amesafiri ila namba yake aya simu hii hapa ongea nae
Kama hakumpa talaka basi mkae mkijua kwamba huyo mwanamke bado ni mkewe
Alimpa Talaka akamwambia asimzowe kama Chupi tena asahau alimvulia suruali yake kwa masosa na anaaapa kama wanawake wamekwisha bora akalale na mamake kuliko kumrudia Mdogo wangu....sasa chakushangaza mamake yupo hai na wanawake wakumwaga bado still anamtaka huyu huyu....
 
Mtoto wa mdogo wangu namezaa na huyu jamaa wakizaramu,lakini yule bwana raha za nje zilivyo mkolea ndio akasema mtoto ni mwarabu sio wake mtoto wa Maji au wa Bkhressa alivyokua na mdomo mchafu kama karo la choo..

Sasa nimeelewa my.
 
@apologise lady

Hapo DNA ilitakiwa kuthibitisha, ili afunge domo lake !! Halafu tatizo shemu yenu hakusoma..maana urithi wa damu ya mtoto ni wa babu saba (7) moja kwa moja atakuwa mwarabu !!

Hatuna mda mchafu wa DNA wala hata tukifanya DNA mtoto tunalea sie yeye akazae tumbiri manake huyu amesema sio mwanawe sababau mwarabu.
 
Ha haa haa, nitake radhi mie, mi mzaramo wa msoga nimekulia kilimo cha nanasi, we mwambie tu mzaramo mwenzetu arudi mvua za msimu zinamuacha huku.
Indeed, ushateguwa mtego ...You wonderful lady ! usitusahau msimu huu kwa manjonjo !!
@Asabaya
 
nyumba aliopewa zawadi ndugu yenu mlimuachia?ipo wapi?
Nyumba Kakangu alimwambia ahame ndio akaitoa milango madirisha vyombo vyote akachukua ndio akahamia
kwa huyo mwanamke wa vigodoro...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom