Kaja kuomba samahani bila aibu

Kaja kuomba samahani bila aibu

Mwambie huyo mwanaume aishie hapohapo!!!!!!!!!!!!!!!!!!! asimletee mabalaa binti wa watu. tena mumuulize amaisha lala na mama yake????????????

Nipe shavu nikupe BONGE LA KISS!! nilikua wa kwanza kuuliza hilo swali kua bwana wewe ushalala na mzazi wako au ndio unafanya matayarisho kwanza? Dad akanitimua kwenye kikao...
 
Ndio amezaa nae mtoto mmoja na alisema yeye mzaramu hawezi kua na mtoto mwenye singa kwahiyo mtoto sio wake.
Baba ni Baba !! hapo mjipange vizuri wanafamilia, kwani damu yake ipo nyumbani kwenu..... huyo in-law wenu mpigeni danadana (vuteni time) hadi aweze kujirekebisha kimaadili. Na kuhu sista aendelee na safari yae kwa mume wa ngambo hadi apotezee fikra la huyu baba mtoto.
 
Mtoto wake naishi nae mie na wala hatutaki aende kuishi na huyo mume mpya aende akale raha zake tafrani za kituko hiki basi.
 
Muogopeni kama ukoma, so huyo dada ndo wakusubiri kula matapishi mwambieni hakuna kitu kama hicho zake huko na kama mtoto alishamkana na akalelewa sasa nini kitashindikana bila yeye.
 
Mtoto wake naishi nae mie na wala hatutaki aende kuishi na huyo mume mpya aende akale raha zake tafrani za kituko hiki basi.
MMhh !! Sasa Ukhtii hasira za nini, hebu tuliza hamaki zako!! huwezi tatua tafrani ktk hali ya ukali na jazb.... sikiliza haya "kheri na baraka kwa kumlea mtoto wa shemu wako, Lakini still huyo ni babake" (we hujui kesho tu kibao kitageuzwa juu yako, watoto hawa wakishakuwa hubadilika) !! sindo nkasema buy time/mchukulieni kisiasa na baadae atajua hapa hakuna tena mke !! Laa sivyo atakuwa gundi nakuganda hapo kibarazani kwenu!!
 
Nipe shavu nikupe BONGE LA KISS!! nilikua wa kwanza kuuliza hilo swali kua bwana wewe ushalala na mzazi wako au ndio unafanya matayarisho kwanza? Dad akanitimua kwenye kikao...

Yaani msikubali kumfanya mdogo wenu kurudi kwenye matatizo, akafie hukoooo
Mi sipendi sana tabia ya mtu hata kama mmeshindwana kutoa kauli kali na zenye kuumiza kama vile hakuna kesho. hakuna mwanaume hapo ni ujinga mtupu huo.
 
Siku zote ukiwa na aibu huwezi kuomba samahani, samahani huombwa na wasio na aibu
 
mwambieni akamlale kwanza mama yake!si aliapa akimrudia hatomrudia mkewe labda amlale mama yake!wanaropokaga tuu maneno makali kumbe hawajui huwa wanajilaani wenyewe!
 
mlikuwa hyamna bunduki hapo home?ungemuwasha ila na sawli kwaniwe mwanamke au mwanaume inaonekana kama mtoto wa mama hivi?kajitegemee bwana na weweeeeee...........!!!!!!!
 
yani asara tupu,halafu ukiangalia mpaka nyumba anayoishi ilikua ya Dad,yeye alikua mwanamme jina sasa kuficha aibu na tumeona mdogo wetu amepata rizki tukubali khaa! sikatuona tuna shida na yeye gari kapewa na dad mtaji kaka zetu na sie tumechanga
baada ya yote hayo anasema uchafu nilikua naumia roho yangu mungu ndio anajua
lakini sasa roho kwatuuuuuuuuuuuuu...
 
simsimangi lakini amekuja kuoa mahari dad kamwambia sio neno nakuoza mwanangu sikuzii mahari yake niku make sure mtoto wangu yuko happy na wewe kama utakua mkweli na nia safi kwa mkeo basi mtafanikiwa sana,hasa mke huyu
kwani ni mpole mnyenyekevu,which is true,angenipata mie wala nisinge mtaka kwanza.......
 
Yaani msikubali kumfanya mdogo wenu kurudi kwenye matatizo, akafie hukoooo
Mi sipendi sana tabia ya mtu hata kama mmeshindwana kutoa kauli kali na zenye kuumiza kama vile hakuna kesho. hakuna mwanaume hapo ni ujinga mtupu huo.

yani asara tupu,halafu ukiangalia mpaka nyumba anayoishi ilikua ya Dad,yeye alikua mwanamme jina sasa kuficha aibu na tumeona mdogo wetu amepata rizki tukubali khaa! sikatuona tuna shida na yeye gari kapewa na dad mtaji kaka zetu na sie tumechanga
baada ya yote hayo anasema uchafu nilikua naumia roho yangu mungu ndio anajua
lakini sasa roho kwatuuuuuuuuuuuuu...
Hebu Mswalie kwanza, na unywe maji glass 2 !! mmmh naona leo unachanganya kwa hasira!!
 
mwambieni akamlale kwanza mama yake!si aliapa akimrudia hatomrudia mkewe labda amlale mama yake!wanaropokaga tuu maneno makali kumbe hawajui huwa wanajilaani wenyewe!

Anajitia wazimu wala hanao nimemuliza nilikua na hamu yakumnawa sanaaaaaaaaaaa manake alipokuja home dad alikua juu sasa akanikuta chini naona hatonisahau,machozi yalikata kwanza,nimemuliza wewe unasema kwa mke gani kwa lipi lakukushaua wewe kama warabu umeona wangapi? mavi yenyewe hunipi sasa umerudi ushapewa mavi uko uliko toka umeshashiba au mavi ya choo hiki ndio umekuja kuchukua? ana laaana mzaramu huyo.....
 
Hebu Mswalie kwanza, na unywe maji glass 2 !! mmmh naona leo unachanganya kwa hasira!!

Ametutukana yani huyu mtu, baada yakumpa maisha anaseme nimewaoa nyote nantaaza kulala na mmoja mmoja
najua mmeolewa lakini hao waumezenu ni madada wote kwangu,sasa leo hii kajaomba samahani eti karogwa,nikamwambia
na alokuroga wala hayupo nyumba hii sema zimekisha sasa unakumbuka shuka kusha kucha..
 
Kwani ile nyumba aliyopewa na baba yako aliirudisha kwanza?
 
Siku zote ukiwa na aibu huwezi kuomba samahani, samahani huombwa na wasio na aibu
Huyu hana aibu wala adabu,mzazi wake alipo mwambia unamuacha mke na adabu zake unakwenda kuoa huyo,alimwambia babake kama unamtaka lalanae wewe. sasa huyo anakua mume au maradhi? hata kama angekua amezaa nae watoto 100 basi nungemwambia usirudi, mwanzo alisema huyu mtoto mwalabu sio wangu atakua mtoto wa baalesa,niliacha uchungu nikacheka,sasaivi anasema anamtaka mwanawe mie nadhani huyu anawazimu....
 
Ametutukana yani huyu mtu, baada yakumpa maisha anaseme nimewaoa nyote nantaaza kulala na mmoja mmoja
najua mmeolewa lakini hao waumezenu ni madada wote kwangu,sasa leo hii kajaomba samahani eti karogwa,nikamwambia
na alokuroga wala hayupo nyumba hii sema zimekisha sasa unakumbuka shuka kusha kucha..
Poleni....,
Sasa nyie hamujui kmsomea AhL-Bader ? ( ile origno kbs ) !!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom