Kairuki aeleza sababu wawekezaji kutimka

Yani huu ukiritimba na urasimu ndo ulinizuia kuwekeza bongo. No favourable and conducive environment for potential young, productive and ambitious young investors like

Nilikuwa na uhakika kuwekeza kwenye kilimo
 
Kwa upande wake, Rais wa chama cha wafanyabiashara kutoka Kivu Kusini, Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC), Ndakala Emmanuel alisema mkutano huo uliomalizika usiwe bure, bali Serikali ya Tanzania ifanyie kazi mambo yote yaliyojadiliwa ili kila mmoja aweze kunufaika na makubalianao hayo.
“Kama tusipopata matokeo mazuri ya kikao hiki itakuwa tumekaa bure hapa na kupoteza muda, ila kama mapendekezo yatafanyiwa kazi tutapata mafanikio katika biashara zetu,” alisema.

Hilo ni kongamano la kwanza kufanyika mkoani Kigoma, ambapo baadhi ya mikoa iliyofanya makongamano kama hayo yanayolenga kuvutia uwekezaji ni pamoja Mwanza, Arusha, Lindi na Tabora.
Mwandishi wa makala kashindwa kazi mhimu zaidi aliyotakiwa aiwasilishe; " mapendekezo ya kikao hicho yalikuwa yapi?"

Angela anaogopa kutumbuliwa, kwa hiyo anakimbilia kwenye sababu rahis rahisi kuwa ndio kisingizio cha uwekezaji kupungua.
Sera je? Utawala bora je?
 
Watatafuta visingizio vingi ila hawatokubali kua tatizo ni lao, sa hivi Tanzania sio sehemu nzuri ya kuinvest hata kidogo, investing money bongo ni kupoteza hela tu, serikali inasumbua sana investors conditions zimekua nyingi mno nyingine ambazo ni unnecessary.
Wanapitia asset za wawekezaji kwenyeadini angela alikuwa waziri anaelewa walivyo Fanya nationalism
 
Watumishi wa Umma ni kama danguro? Kila mtu akitaka Dada poa anavuta tu!! Sababu mnazijua ila ubishi na bichwa gumu .
 
Watatafuta visingizio vingi ila hawatokubali kua tatizo ni lao, sa hivi Tanzania sio sehemu nzuri ya kuinvest hata kidogo, investing money bongo ni kupoteza hela tu, serikali inasumbua sana investors conditions zimekua nyingi mno nyingine ambazo ni unnecessary.
Tuwe wakweli jamani,bado tatizo la rushwa na ukiritimba kwa nia ya ku-solicit rushwa lipo kwa watumishi wa umma.Lipo pia tatizo la kuikwamisha serikali ya awamu ya tano kwa makusudi.Anayekataa kwamba matatizo haya hayapo ni part of the problem.
 
SIKUTEGEMEA KAMA HII KAULI INGETOLEWA NA WAZIRI MSOMI ANAEHUSIKA NA MASUALA YA UWEKEZAJI YAANI SABABU WANAZIJUA NA CHANZO NI WENYEWE SASA WANAOKOTEZA SABABU WAKIJUA HATUJUI BASI TUNA SAFARI NDEFU
 
Kairuki aeleza sababu wawekezaji kutimka:
Kigoma. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji), Angellah Kairuki amesema vitendo vya rushwa, urasimu uliokithiri na vinavyoendana na hivyo kwa watumishi wa umma ni chanzo cha kufukuza wafanyabiashara na wawekezaji nchini

Amesema hali hiyo inasababisha kushindwa kufikia lengo la Taifa la ukuaji wa kibiashara.

Waziri huyo alisema hayo jana wakati akifunga kongamano la kibiashara la nchi zinazozunguka Ziwa Tanganyika lililofanyika kwa siku tatu mjini hapa.

Alisema watumishi wa umma wanatakiwa kufanya kazi kwa uadilifu mkubwa, kwa ufanisi na kuondoa urasimu usio wa lazima ili kuvutiwa wawekezaji.

Kairuki alisema hata kama Serikali ikitumia nguvu kubwa katika kutangaza wafanyabiashara na wawekezaji kuja kuwekeza nchini, kama vitendo hivyo visipokomeshwa watumishi wa namna hiyo wataendelea kuwakimbiza.

Alisema kila mtumishi wa umma anatakiwa ajitathmini katika utendaji wake kwani vitendo hivyo vikiendekezwa vitasababisha wawekezaji kwenda kuwekeza nchi nyingine.

Alisema Serikali itaendelea kupunguza changamoto ya tozo kwa wafanyabiashara na wawekezaji kwa lengo la kuboresha biashara.

Naye mkuu wa mkoa wa Kigoma, Emanuel Maganga alisema Serikali haitawavumilia watumishi wa umma mkoani humo watakaokwamisha shughuli za kibiashara kwa wafanyabiashara kutoka ndani na nje ya nchi.

Kwa upande wake, Rais wa chama cha wafanyabiashara kutoka Kivu Kusini, Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC), Ndakala Emmanuel alisema mkutano huo uliomalizika usiwe bure, bali Serikali ya Tanzania ifanyie kazi mambo yote yaliyojadiliwa ili kila mmoja aweze kunufaika na makubalianao hayo.

“Kama tusipopata matokeo mazuri ya kikao hiki itakuwa tumekaa bure hapa na kupoteza muda, ila kama mapendekezo yatafanyiwa kazi tutapata mafanikio katika biashara zetu,” alisema.

Hilo ni kongamano la kwanza kufanyika mkoani Kigoma, ambapo baadhi ya mikoa iliyofanya makongamano kama hayo yanayolenga kuvutia uwekezaji ni pamoja Mwanza, Arusha, Lindi na Tabora.

Chanzo; MWANANCHI
Samahani mleta mada naomba kufahamu maana ya 'urasimu'. Kuuliza si ujinga.
 
Huyu mama karithi uwongo wa mwijage aliekua waziri wa viwanda,awamu hii mawaziri wote wasanii
Kairuki aeleza sababu wawekezaji kutimka
Sunday May 12 2019

pic+kairuki.jpg

By Happiness Tesha, Mwananchi htesha@mwananchi.co.tz
Kigoma. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji), Angellah Kairuki amesema vitendo vya rushwa, urasimu uliokithiri na vinavyoendana na hivyo kwa watumishi wa umma ni chanzo cha kufukuza wafanyabiashara na wawekezaji nchini
Amesema hali hiyo inasababisha kushindwa kufikia lengo la Taifa la ukuaji wa kibiashara.
Waziri huyo alisema hayo jana wakati akifunga kongamano la kibiashara la nchi zinazozunguka Ziwa Tanganyika lililofanyika kwa siku tatu mjini hapa.

Alisema watumishi wa umma wanatakiwa kufanya kazi kwa uadilifu mkubwa, kwa ufanisi na kuondoa urasimu usio wa lazima ili kuvutiwa wawekezaji.

Kairuki alisema hata kama Serikali ikitumia nguvu kubwa katika kutangaza wafanyabiashara na wawekezaji kuja kuwekeza nchini, kama vitendo hivyo visipokomeshwa watumishi wa namna hiyo wataendelea kuwakimbiza.

Alisema kila mtumishi wa umma anatakiwa ajitathmini katika utendaji wake kwani vitendo hivyo vikiendekezwa vitasababisha wawekezaji kwenda kuwekeza nchi nyingine.

Alisema Serikali itaendelea kupunguza changamoto ya tozo kwa wafanyabiashara na wawekezaji kwa lengo la kuboresha biashara.
Naye mkuu wa mkoa wa Kigoma, Emanuel Maganga alisema Serikali haitawavumilia watumishi wa umma mkoani humo watakaokwamisha shughuli za kibiashara kwa wafanyabiashara kutoka ndani na nje ya nchi.

Kwa upande wake, Rais wa chama cha wafanyabiashara kutoka Kivu Kusini, Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC), Ndakala Emmanuel alisema mkutano huo uliomalizika usiwe bure, bali Serikali ya Tanzania ifanyie kazi mambo yote yaliyojadiliwa ili kila mmoja aweze kunufaika na makubalianao hayo.
“Kama tusipopata matokeo mazuri ya kikao hiki itakuwa tumekaa bure hapa na kupoteza muda, ila kama mapendekezo yatafanyiwa kazi tutapata mafanikio katika biashara zetu,” alisema.

Hilo ni kongamano la kwanza kufanyika mkoani Kigoma, ambapo baadhi ya mikoa iliyofanya makongamano kama hayo yanayolenga kuvutia uwekezaji ni pamoja Mwanza, Arusha, Lindi na Tabora.
 
Hawahawa ambao tunaambiwa hawana ongezeko la mishahara, hawapandishwi madaraja, hawalipwi malimbikizo na ambao mazingira/majukumu yao ya kazi yanaingiliwa na wanasiasa?
watumishi wa umma wanazidi kuangushiwa jumba bovu.
 
Ni tatizo kubwa sio tu mwekezaji, pia exporters. Importers.

Mazingira siyo rafiki.

Kama tuko serious, tunamaanisha kwanza tujenge mazingira sahihi.
Believe me hatutafika popote kwa mwendo huu
Yaani hata nyanya kuuza nje majanga itakuwa kumpa mwekezaji ardhi na aanze kazi
Tumepoteza fursa nyingi sana na yamebaki maneno tu kwa viongozi
Kuna tatizo kubwa sana mkuu
 
Mkuu tunafanyaje to rectify situation, to make things better?
 
Kuna uoga mkubwa sana wa kila kitu kuanzia maisha na kila kitu
Tunaogopa foreigners tangu tupate uhuru na hii imetufanya tusifanye biashara nao na kukubali kuwa bila kuruhusu flow na kuondoa woga na masharti hatutaweza kufanya kitu.
Hebu angalia mataifa mengi yaliyoendelea yamejengwa na foreigners
Sisi foreigner tunamuona adui mkubwa.
Hata waafrika wenyewe kwa wenyewe hatupendani
In UK nimeona jinsi miji inavyobadili for over years walikuja waarabu wa Gulf na kununua majengo mengi kama makazi yao wakija holidays lakini mwisho wakaanza kununua biashara zao kubwa kubwa za wazawa.
Bila hiyana wakajiondoa na kuwaachia na huku serikali ikiwatoza kodi
Wakaja tena wachina na kuwekeza supermarkets zao na mwisho wakaanza kununua ardhi na kushusha majengo huku wakilikuza jiji na serikali kupata kodi ya uhakika na mishahara ikiongezeka kwa ajira mpya za kila kukicha
Hapo wakaanza kuingia Russians na kuwekeza haswa bila vikwazo
Kina abramovich na jamaa wa easy jet mpaka akapewa na uraia.

Mkuu hapo wabunge wa upinzani wakaanza kusema Serikali inaruhusu money laundering na hela chafu zinakuja kutakakatishwa kwa kununua biashara na kufungua miradi mingi nchini
Sawa hilo lina ukweli maana mtu anakuja na hela na anawekeza lakini haulizwi umetoa wapi hela they don't care as long as wanakuza uchumi wetu shauri zao.
Sasa huko wanaogopa na kuwa na sababu zisizokuwa na msingi
Unatakiwa uwe na akili ya biashara na siasa wakati mwingine haina faida.
Kama ni usalama basi UK wangeogopa zaidi kwani wamekaribisha waarabu, wachina, na Russia na jews na maisha yanaenda murua kabisa.
Kuna siku mjadala uliwaka kuhusu Zanzibar na nilishangaa jinsi watu wenye akili zao na ninaamini wapo wakubwa tu kwa majibu waliyokuwa wanaandika.
 
Back
Top Bottom