Kairuki aeleza sababu wawekezaji kutimka

Kairuki aeleza sababu wawekezaji kutimka

Haaaa wawekezaji wanauliza nani aliyemteka mo dewji ,haahaahaa wanaogopa kutekwa
 
Ukimruhusu mwekezaji awekeze nchini kwa kutolipa capital goods tax na corporate tax kwa miaka kumi ni bora zaidi kuliko kutokuwa na huo uwekezaji let say anawekeza kwenye kiwanda kitakacho zalisha ajira za watu 1000.

Mwekezaji huyo atanunua umeme, atanunua maji, atanunua mafuta ya magari, atanunua consumables mbalimbali na vitu vyote hivyo vitasaidia mzunguko wa pesa sokoni. Kingine nikuwa wafanyakazi watakao ajiriwa watalipa kodi ya PAYE na pia watakuwa na pesa(income) ya kununua mahitaji yao mbalimbali na kwa hiyo kushamirisha biashara za watu wengine kama za vyakula, mavazi, nyumba za kupanga, watalipa bills za umeme na maji, watapeleka watoto shule, hospitali nk.

Kwa ufupi serikali inatakiwa kutazama vikwazo vya uwekezaji ili kuongeza wawekezaji na kupanua uchumi badala ya kuweka vikwazo vingi ambavyo havitusaidii sana kukuza uchumi wetu.
Hayo mdindifu hajui, yeye anajua jua tu kemia.
 
Babu yako ndio Gundu tupu Kesha tuharibia nchi hii..
Nenda katafutell jingine uje nalo lakini sio haya Matope
Nchi hii wote tunao wajibu wa mustakabari wake. Tunaposema ni watu fulani tu wanatuangusha, wakati mambo ya hovyo yanaendelea kujirudia hapo tunatakiwa sote tujilaumu wenyewe
 
Back
Top Bottom