Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 13,796
- 20,205
- Thread starter
- #241
Sawa ShemasiAdam aliishi miaka 930,sasa ukiangalia hiyo miaka jiulize mtu huyo akiamua kuzaa anaweza zaa watoto wangapi? Na enzi hizo hakukua na hizi mambo za kulea kwa gharama kubwa sana.
Kiasili kabisa mtoto wa kiume alikua anapewa kipaumbele tangu mwanzo na inawezekana adam alikua na watoto wengine wa kike ambao hawajatajwa katika BIBLIA na ndio maana ukifatilia hata katika mila za kiafrika hasa haoa tz kwa makabila mengi wanawake walikuwa hawaruhusiwi kupata urithi wowote ule, so tangu awali wanawke hawakupewa priority sana.
Hata MUNGU mwenyewe sio muumini wa GENDER EQUALITY ingekuwa sivyo asingetangulia kumuumba adamu then hawa baadaye...... Haya mambo ni magumu kuelewa ila yanaeleweka