Kaifuta namba yangu kisa sikumpa hela!!!

Nyie ndio wale demu akikuomba mpk akupe k roho mbaya iyo

Kwani hiyo K ndo nini bana?

Usikute kwanza hata K yenyewe haina ubora!!!!!

Ujue K nazo zimetofautiana. Zingine ubora hazina halafu zina sura mbaaaaya....na hazitunzwi vizuri...

Pliiiiiiiz.....tupa jalalani huko.
 
Hata kama ina ubora basi atangaze biashara ujue moja
sio kuigiza kuwa ni decent woman halafu kumbe k for sale
 
Labda ameona unanukia pesa so akadhani zinatoka kirahisi.....
 
hadi Leo nikiona no ya simu inaishia na 17 sipokei unajua kwa nn?back in my days nlikuwa na demu moja hivi wakuitwa charity,aloo uyu manzi bhna 24/7 yy Ni vizinga tuu,Mara vocha Mara ajala Mara anaumwa ili mradi full menu ya matatizo..nilimblock na mazoea yakafa ILA mpk
Leo nkiona no inaishia na 17 naona hatari..
 
Hajala..we umtumie pesa
anaumwa..we umtumie pesa
dah...hapo mpo kama watano
 
Hahaa haa the funny part unakuta kawaomba hata watu watano kwa mpigo

mwingine unakuta anakutajia shida hiyo ukimtazama wala hafanani nayo
mtu anakwambia ana shida ya nauli ya mkoa haifiki hata elfu 30
wakati simu zake mbili tu anagusa milioni....unabaki unajiuliza maswali
Naona malegendari mmekutana
Hata kuonana hatujaonana. Hajui hata naitwa Nyani nani [jina langu la ukoo], lakini huwa tunachati tu hapa na pale.

Juzi ananicheki kwa WhatsApp...bebi hivi bebi vile.

Mara ananipiga mzinga. Eti anaumwa halafu anataka kwenda kumsalimia mama'ake huko Shinyanga.

Nilipomnyima akaja juu. Eti kwa nini namnyima huku wakati anashida. Akasema anaifuta namba yangu.

Nami nilivo kichaa nikaifuta yake kabla hata hajaifuta yangu.

Hata kama ndo ujasiria-vagina lakini siyo to that extent.

Utamwombaje hela mtu ambaye hata humjui kivile?

Mi hata kumwomba tu mtu anikopeshe huwa ninafikiria karibu hata mwezi mzima na mwisho wa siku naishia kupotezea tu. Siombi wala sikopi.

Lakini kwa wengine kuomba ni kama anatoa salamu! Hata mshipa wa kujistukia hana.

Ama kweli tumeumbwa tofauti.
 
Mkuu uzi wa leo umenifanya na Mimi nichangie kidogo.. Kuna mdada nimekutana naye facebook tukajikuta tunaingia kwenye mahusiano huku hatufahamiani. Cha Ajabu huyu msichana alianza kuwa ananiomba pesa mara kwa mara nikawa namkwepa.. Mimi ni mwajiliwa na yy ni mwanafunzi wa chuo cha ualimu huko Dodoma.. Yaani ananiboa kichizi hadi huwa tunakasirishana mara kwa Mara tuu.. Huwa nampiga kalenda mara kibao ila hachoki kunisumbua.. Natafuta namna ya kumuacha kistaarabu nashindwa maana ameniganda balaa sifurukuti Kabisa. Naombeni mnishauri namna ya kumuacha kabisa.

Mimi siwezi kumtumia mtu hela ambaye sijawahi kumuona nitakuwa nafanya zambi kubwa bora hiyo hela nimpe hata mzazi wangu aliyenisomesha kwa shida ataniongezea baraka na nitazidi kufanikiwa zaidi.

Kwa mwanaume aliyepo Dodoma mi naweza kutoa namba yake aisee.. Amenichosha kinyama huyu mtu yaani sina raha ..kila saa anataka hela na inafikia hadi wakati mwingine nakuwa stressed hata eneo Langu la kazi kiasi kwamba inanipunguzia efficiency kwenye kazi yang.. Naombeni msaada nimteme vipi huyu mdada kanichosha ile mbaya.

Nawasilisha.
 
Umepatia Mkuu na mimi mwezi ulopita tuu kademu nlikaacha kijiji kakiwa std 6 xaxa kamemaliza ualimu grade 3 kanapgika tuuu kila cku hela cjachelewa kufuta namba kabla yake
 
Mkuu uzi wa leo umenifanya na Mimi nichangie kidogo.. Kuna mdada nimekutana naye facebook tukajikuta tunaingia kwenye mahusiano huku hatufahamiani. Cha Ajabu huyu msichana alianza kuwa ananiomba pesa mara kwa mara nikawa namkwepa.. Mimi ni mwajiliwa na yy ni mwanafunzi wa chuo cha ualimu huko Dodoma.. Yaani ananiboa kichizi hadi huwa tunakasirishana mara kwa Mara tuu.. Huwa nampiga kalenda mara kibao ila hachoki kunisumbua.. Natafuta namna ya kumuacha kistaarabu nashindwa maana ameniganda balaa sifurukuti Kabisa. Naombeni mnishauri namna ya kumuacha kabisa.

Mimi siwezi kumtumia mtu hela ambaye sijawahi kumuona nitakuwa nafanya zambi kubwa bora hiyo hela nimpe hata mzazi wangu aliyenisomesha kwa shida ataniongezea baraka na nitazidi kufanikiwa zaidi.

Kwa mwanaume aliyepo Dodoma mi naweza kutoa namba yake aisee.. Amenichosha kinyama huyu mtu yaani sina raha ..kila saa anataka hela na inafikia hadi wakati mwingine nakuwa stressed hata eneo Langu la kazi kiasi kwamba inanipunguzia efficiency kwenye kazi yang.. Naombeni msaada nimteme vipi huyu mdada kanichosha ile mbaya.

Nawasilisha.

Si umpige block yaishe
 
Waache uzembe hawa mademu, apa dudu kwanza mizinga baadae. Sa mtu hata sijatoweza tonge kwenye mboga anataka aondoe vyombo. Yani nilipe kabla sijala??? Haiwezekani!!!

Prepaid services zinataka moyo mazee maana hujui pengine huduma huenda ikawa mbovu sana.
 
Mkuu uzi wa leo umenifanya na Mimi nichangie kidogo.. Kuna mdada nimekutana naye facebook tukajikuta tunaingia kwenye mahusiano huku hatufahamiani. Cha Ajabu huyu msichana alianza kuwa ananiomba pesa mara kwa mara nikawa namkwepa.. Mimi ni mwajiliwa na yy ni mwanafunzi wa chuo cha ualimu huko Dodoma.. Yaani ananiboa kichizi hadi huwa tunakasirishana mara kwa Mara tuu.. Huwa nampiga kalenda mara kibao ila hachoki kunisumbua.. Natafuta namna ya kumuacha kistaarabu nashindwa maana ameniganda balaa sifurukuti Kabisa. Naombeni mnishauri namna ya kumuacha kabisa.

Mimi siwezi kumtumia mtu hela ambaye sijawahi kumuona nitakuwa nafanya zambi kubwa bora hiyo hela nimpe hata mzazi wangu aliyenisomesha kwa shida ataniongezea baraka na nitazidi kufanikiwa zaidi.

Kwa mwanaume aliyepo Dodoma mi naweza kutoa namba yake aisee.. Amenichosha kinyama huyu mtu yaani sina raha ..kila saa anataka hela na inafikia hadi wakati mwingine nakuwa stressed hata eneo Langu la kazi kiasi kwamba inanipunguzia efficiency kwenye kazi yang.. Naombeni msaada nimteme vipi huyu mdada kanichosha ile mbaya.

Nawasilisha.
Kuwa mtu unayesimamia unachokiamini.. akili haitaki kutoa pesa lakini unamficha unamzungushazungusha kwanini mkuu.

Mwambie hauwezi kuwa katika mahusiano ya namna hiyo.... mchane. Sasa wewe unaonekana unamfichaficha na ni vibaya unadhulumu unachokiamini.
 
Biashara ya kuombana ela..duh ebwana siwezi..asa wanawake ndio nakuacha kabisa..!
 
Mkuu uzi wa leo umenifanya na Mimi nichangie kidogo.. Kuna mdada nimekutana naye facebook tukajikuta tunaingia kwenye mahusiano huku hatufahamiani. Cha Ajabu huyu msichana alianza kuwa ananiomba pesa mara kwa mara nikawa namkwepa.. Mimi ni mwajiliwa na yy ni mwanafunzi wa chuo cha ualimu huko Dodoma.. Yaani ananiboa kichizi hadi huwa tunakasirishana mara kwa Mara tuu.. Huwa nampiga kalenda mara kibao ila hachoki kunisumbua.. Natafuta namna ya kumuacha kistaarabu nashindwa maana ameniganda balaa sifurukuti Kabisa. Naombeni mnishauri namna ya kumuacha kabisa.

Mimi siwezi kumtumia mtu hela ambaye sijawahi kumuona nitakuwa nafanya zambi kubwa bora hiyo hela nimpe hata mzazi wangu aliyenisomesha kwa shida ataniongezea baraka na nitazidi kufanikiwa zaidi.

Kwa mwanaume aliyepo Dodoma mi naweza kutoa namba yake aisee.. Amenichosha kinyama huyu mtu yaani sina raha ..kila saa anataka hela na inafikia hadi wakati mwingine nakuwa stressed hata eneo Langu la kazi kiasi kwamba inanipunguzia efficiency kwenye kazi yang.. Naombeni msaada nimteme vipi huyu mdada kanichosha ile mbaya.

Nawasilisha.
Mkuu nipe Mimi nitakupa majibu yote , kwa sasa Dodoma
 
Back
Top Bottom