Kaibiwa na Dada poa sasa anaanza upya

DR SANTOS

JF-Expert Member
Mar 11, 2019
10,524
21,464
Moja kwa moja kwenye mada, Ni ndugu yangu mmoja ameshakamata 40 years mpaka Sasa Ana kazi Ni afisa kilimo na mifugo.

Jamaa Ni hataki kusikia habari ya kuoa, Ni baada ya kupigwa tukio na alokua manzi yake miaka mitano ilopita.
Alishangaa tu anaambiwa manzi yake kaolewa na yeye Hana taarifa yoyote na juzi tu wametoka kuwasiliana pia hakukua na ugomvi wowote Kati yao.

Sasa katika miaka yote hio amekua Ni mtu wa kuchakata Dada poa Hana plan yoyote ya maisha hufanya hivyo salary ikitoka au akiwa na pesa kuchacha kwake Ni kawaida ikifika tar 1 Hana kitu anakula msotooo mwezi mzima mpaka atakapokutana na kirungu kingine

Madeni benki na nje😀 yaani kwa kifupi Mambo Ni tafrani toka amepigwa tukio na Yule binti.

Sasa last week aliopoa Dada poa kumbe alikua mwizi wamerudi wamelewa jamaa akapigwa na midawa ya kulevya sijui Ni cocaine au heroine au ugoro bila kujielewa amekuja kuamka saa 7 mchana ndani Hakuna chochote alichoachiwa Ni kitanda alicholalia na vikombe viwili vya chai.

Imagine mtu anaiba adi sufuria
🙂
Tuweni makini
 
huyo ni wewe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…