Kahangwa aachana na NCCR!

Kahangwa aachana na NCCR!

Mama,
Sina mpango wowote wa kuanzisha chama, nadhani inawezekana kabisa kulitumikia taifa, kulinda na kutetea maslahi yake bila kuwa ndani ya chama. Hata hivyo kuwa ndani ya chama cha siasa nako kwafaa hasa hasa kama ni chama kisafi ndani na nje.

Mkuu naona unapandisha dau teh teh teh! Komaa hivyo hivyo wataongeza tu...
 
Mkuu Kahangwa,

Karibu CHADEMA.Hicho ndicho chama makini pekee cha kuliongoza taifa hili kwenye Neema.Ndiyo chama kinachoweza kupambana na kuifanya Tanzania kuwa superpower katika hii Region. Wakenya wanatuburuza kiuchumi kwa kuwa hatuna chama chenye idea za kuleta ukuaji wa Uchumi.

Karibu CHADEMA chama pekee kilichokubalika na shujaa wa Taifa hili Mwalimu JK Nyerere.Ndiyo maana hata ndugu zake infact familia yake imeaamua kujiunga na CHADEMA kwani wametaka kuendelea kumuenzi

Hiki ndicho chama pekee kilichoibuka shujaa wa kupambana na unyonyaji kaitka taifa hili.Mzimu wa Mwembeyanga bado unaungaza hadi leo.Mkuu uamuzi wako uwe wa busara,kuliko kujaribu huko CCM ni bora sasa ufanye chaguo sahihi,jiunge na CHADEMA
 
Bila shaka utakua umechambua sera za CHADEMA,na kutokana na mawazo yako niliyoyasoma hapa kwa kweli sioni kama kuna chama kinachokufaa zaidi ya CHADEMA.Unaweza kuwa na mawazo mazuri sana kama nilivyoona lakini ukafanya kosa kubwa sana yaani kuwa katika chama kisicho makini.Hiyo inakua ni mwanzo wa safari ya kufa kisiasa

CHADEMA kuna fursa na changamoto mbalimbali za kuchochea mabadiliko na au mapambano ya fikra.Tumia fursa hizo na utakua ni uamuzi wa busara katika maisha yako ya kisiasa
 
Ben,
Ni sababu gani hasa zilizomfanya Mwalimu Nyerere aikubali CHADEMA? Naomba maelezo.
 
Rwabugiri,
Sijaenda na sina mpango wa kwenda CCM. Aidha, sidhani kwamba CCM na NCCR ni vyama visivyokuwa na tofauti.
Mkuu hii kauli angalia usijekuikumbuka kabla ya 2010! Nitaongea nawe kwa simu punde.

Siulaumu uamuzi wako mkuu, naupongeza endapo hukushinikizwa na YEYOTE na wala hukufanya hivyo kwa kumkomoa yeyote.

Ni wakati mzuri kwako kujiweka sawa. Tupo pamoja mkuu. Wherever you go, kumbuka maslahi ya Taifa mbele!

Kuna mengi ya kujifunza toka kwako mkuu wangu.
 
Last edited by a moderator:
Bila shaka utakua umechambua sera za CHADEMA,na kutokana na mawazo yako niliyoyasoma hapa kwa kweli sioni kama kuna chama kinachokufaa zaidi ya CHADEMA.Unaweza kuwa na mawazo mazuri sana kama nilivyoona lakini ukafanya kosa kubwa sana yaani kuwa katika chama kisicho makini.Hiyo inakua ni mwanzo wa safari ya kufa kisiasa

CHADEMA kuna fursa na changamoto mbalimbali za kuchochea mabadiliko na au mapambano ya fikra.Tumia fursa hizo na utakua ni uamuzi wa busara katika maisha yako ya kisiasa

Ben,
Nimekusoma vizuri.
 
Mkuu hii kauli angalia usijekuikumbuka kabla ya 2010! Nitaongea nawe kwa simu punde.

Siulaumu uamuzi wako mkuu, naupongeza endapo hukushinikizwa na YEYOTE na wala hukufanya hivyo kwa kumkomoa yeyote.

Ni wakati mzuri kwako kujiweka sawa. Tupo pamoja mkuu. Wherever you go, kumbuka maslahi ya Taifa mbele!

Kuna mengi ya kujifunza toka kwako mkuu wangu.

For sure Invisible, maslahi ya Taifa kwanza.
 
Kaka Kahangwa...

Ushauri wangu ni huu. Tulia, chukua muda, tafakari ndipo uchukue maamuzi. Kahangwa ninayemjua na kumheshimu sana sidhani kama CCM ni pa kwenda.

Vilevile usifanye kosa la kusema utakee nje ya uwanja wa siasa. Siasa inahitaji watu wa aina yako kupunguza ujinga na uozo uliokuwepo..

Tanzanianjema
 
Tanzania njema,
Ahsante sana kwa ushauri wako mzuri sana, nitautumia.
 
Hii post ndo naiona leo, nimefurahi sana Bw. Kahangwa umefanya uamuzi niliokuwa nautegemea kufanywa na mtu makini. Hivi nakupa hongera sana. Hata hivyo upo katika wakati muhimu sana kwa maslahi ya taifa na future yako (kisiasa). Nakushauri kuwa makini sana katika wakati huu wa uamuzi. Kila la kheri Mkuu.
 
Nasikia the guy went back baada ya kuitwa kwenye kikao cha suluhu. Hata hivyo aliondoka nchini baada ya hapo, sijui alipozwa kwa hela (scholarships) za Rostam!
 
Hongera Bwana Kahangwa kwa kuachana na NCCR ingawa sababu unazijua wewe mwenyewe. Suala la kwamba asiingie chama cha SISI M nahisi unaongea CCM. Huo ni uamuzi wake maana hata alivyokwenda NCCR - Mageuzi hukumpangia wewe. Karibu sana Kahangwa ndani ya chama tawala. chama sio kibaya labda kama kuna watendaji wabaya. CCM HOYEEE

Kahangwa ambaye ninayafahamu sana misismamo yake pale chuo kikuu tulipokuwa tunasoma naye ni matumaini yangu atajiunga na chadema, ngumu sana kujiunga na ccm unless otherwise.
 
Mama,
Sina mpango wowote wa kuanzisha chama, nadhani inawezekana kabisa kulitumikia taifa, kulinda na kutetea maslahi yake bila kuwa kiongozi wa chama. Hata hivyo kuwa kiongozi ndani ya chama cha siasa nako kwafaa hasa hasa kama ni chama kisafi ndani na nje na wewe mwenyewe hali inaruhusu.
Ndiyo yule mh.aligombea Karagwe kwa CDM na kukaribia kushinda au....
 
bila kutoa sababu na kusema umejitahidi kuzitatua kwa kiwango gani na vikwazo vilivyokuzuia kufanikisha mipango hiyo hutufai....NCCR mageuzi cyo chama makini labda uunde chako...au uende SISI M....sisi CDM tunahitaji watu wanaokwenda na wakati na wasiogopa jela wala bunduki unaweza? na je yakitokea unakwenda bado utahama?...NAfuu uunde chako kaka
 
Back
Top Bottom