Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama hiyoo
CbJilcRXEAEOH2Q (1).jpeg

DCQxvcKW0AAGPDt.jpeg

Image credit
 
Dosmeza HotelView attachment 1177152
Ilikuwa Milimani Motel zamani miaka ya tisini Sasa imekuwa chuo View attachment 1177155
FM Hotel front viewView attachment 1177156
FM Hotel back viewView attachment 1177157
Agreement Hotel kabla ya kuongeza jengo la piliView attachment 1177159
Agreement Hotel jengo la pili View attachment 1177160
Glory HotelView attachment 1177161
JD HotelView attachment 1177162
Zamani iliitwa Chani Hotel kwasasa inamilikiwa na Mwanyika aliyekuwa acacia.Sijalipata jina lake.Picha zote hizi zipo Google search View attachment 1177162
View attachment 1177150
Ahsante boss, maana kuna tomaso feki humu, alete za kahama sasa
 
Sema ulishindwa ushindani wa biashara nani akuroge kwa lipi?
Afu kama ulifuata wanawake weupe umepotea njia huku kuna black beuty women ndio wengi kuliko weupo yaani mikoa ya kusini ndio ilivyo hivyo
Maandunje watu wafupi hata wakongo wana afadhali
 
Picha gani hizi unaweka mkuu yaani hakuna kitu cha maana huko hadi unaweka uchafu huu wa nyumba za uani? Kuwa serious kidogo
Mkuu leta aerial view ya Njombe, kama huo ni uchafu

NSSF Mafao House Kahama
images (7).jpeg

Precision air route ya Kahama, sjui huko Njombe kulikon
images (6).jpeg

Golden view hotel Kahama

images (5).jpeg
 
B
Buzwagi view hotel n sio Hotel Mzee baba
Hiyo nnguest house tu yenye bar na restaurant.Nimelala hapo Mara kibao tembea uone hotel.Ukifika Mafinga,Njombe na Makambako utaziona nyingine Sana
Yani title yake ni hotel wewe unaiita guest house are you insane?.
.
Huenda hata hujui Hotel ni kitu gani
 
Baada ya mwanza city inakuja Bukoba munispality then kahama ndo inafata kwenye kanda ya ziwa
 
Dosmeza HotelView attachment 1177152
Ilikuwa Milimani Motel zamani miaka ya tisini Sasa imekuwa chuo View attachment 1177155
FM Hotel front viewView attachment 1177156
FM Hotel back viewView attachment 1177157
Agreement Hotel kabla ya kuongeza jengo la piliView attachment 1177159
Agreement Hotel jengo la pili View attachment 1177160
Glory HotelView attachment 1177161
JD HotelView attachment 1177162
Zamani iliitwa Chani Hotel kwasasa inamilikiwa na Mwanyika aliyekuwa acacia.Sijalipata jina lake.Picha zote hizi zipo Google search View attachment 1177162
View attachment 1177150
Nimeziangalia Google zote, sasa kwanini umeleta picha za chuo?
Yani Njombe kuna hotel hizo tu Agreement, Glory , JD, na Fm hotel basi hakuna cha ziada.
.
Kahama hakuna hotel nyingi za majengo marefu ziko chache ila kaliii
 
Sasa hapo kuna uzuri gani mkuu,mandhari gani iko Iringa kuizidi mbeya? Hamna kitu hapo

Mzee kwamba huoni?? Nitajie sehemu hata moja ya jiji la mbeya ambayo unaeza enda ukapiga hata picha, trust me Haipo..
kwangu mbeya ni Home pia, but Huwezi fananisha mbeya na Iringa, Iringa ni mji mzuri, Uliopangwa vizuri, Hali ya Hewa Safi, watu pia wasafi, mji organized, 24hrs maji safi yapo, Mbeya can beat Iringa May be kwa Size,
Mbeya is one of the Dustiest city ever, ushaenda mbalizi mwezi wa tisa wewe? Au jaribu tembea kwa mguu toka mabatini hadi Mama Joni,
Vumbi la kufa mtu, bajaji kede na mabodaboda.
Iringa ni padogo kuliko mbeya ila ukiwa mjini you feel upo mjini, houses are actual houses, Tembea kwa mguu popote hutahitaji kubrush kiatu chako..
Sio mbeya mabati ya kutu na majumba ya udongo kotekote kuanzia mbalizi hadi mabatini, Uje hadi Uyole na Sae, ukienda ile njia ya Makunguru hadi Isanga ndio uwiii
Infact mbeya ni very disorganized wewe unafahamu hili sitaki kukuelezea zaidi,

By the way, Mbeya na Iringa kote ni Home,
Tunahitaji barabara sita toka Inyala hadi Uwanja wa ndege kule Songwe, kile kiuchochoro kwakweli its shame kwa mkoa unaochangia pato la nchi kwa sehemu kubwa, yaani kile kibarabara kimefanya msongamano wa magari ikiwa magari yenyewe sio mengi sana, Ile bypass ijengwe but Barabara Sita is a Must,
We need a real Mbeya City, not like the current one.
Hii serikali imekuwa ikiipotezea Mbeya kwa miongo mingi sana. No way.
 
Nimeziangalia Google zote, sasa kwanini umeleta picha za chuo?
Yani Njombe kuna hotel hizo tu Agreement, Glory , JD, na Fm hotel basi hakuna cha ziada.
.
Kahama hakuna hotel nyingi za majengo marefu ziko chache ila kaliii
Kahama kali nimeona 2 tu. Nyingine uchafu tu kwa kulinganisha na njombe, harafu hapo tumeonesha hotel tu, bado viwanda, mashamba ya fursa, harafu kwanini watu wa huko ni maskini wa kutupwa. Mnakwama wapi? Elimu duni, vyoo hakuna, mnakimbilia vichakani hadi zama hizi, mnanufaika vp na mashimo yenu hayo
 
Mkuu leta aerial view ya Njombe, kama huo ni uchafu
NSSF Mafao House Kahama
View attachment 1177248
Precision air route ya Kahama, sjui huko Njombe kulikon
View attachment 1177252
Golden view hotel Kahama
View attachment 1177262
Ni kweli ndege zipo huko, but kwa umaskini wa wenyeji sidhani km kuna mzawa anapanda hizo ndege zaidi ya treni. Hizo zinaleta wakinga na wachaga kija kubeba madini na kusepa nazo na kuwaachia vumbi lenu na umaskini wenu, ebu wahi kachunge ndama uko muda umefika
 
Back
Top Bottom