ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,218
- 85,095
🤣🤣🤣🤣Nyumba utazani zimenusurika na vita huko Dafur.Njombe tc
View attachment 2787503
Njia 4 ya km 1 😁😁😁😁Bukoba inakucha tena...japo kuna watu wananuna hatari...wanataka wautumie uchakavu wa miundombinu ya mji wa Bukoba kuwatukana na kuwakejeli wahaya...
Sasa sijui watatumia nini maana mambo mabovu ya mji wa Bukoba yanafanyiwa kazi....
Njia 4 ya km 1 😁😁😁😁
Ila ni hatua maana Mwanza hakuna
View: https://www.instagram.com/p/Cy8cp53sT2v/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
Ziko Wapi? Kama ni mipango ipo Kila Mkoa 🤣🤣🤣Acha ushambenga, Misungwi nayo inakula 1.16 km dual carriage kuelekea kwenye daraja la JPM, then sengerema inalamba 0.5km, Mwanza inakuja kupigwa 15km dual carrige japo kwa sasa hatuna, lakini ilemela wana dual carriage ya 10km.
Tatizo unakurupuka sasa natuma picha alafu unipe namba za ilo kulumbembe lakoZiko Wapi? Kama ni mipango ipo Kila Mkoa 🤣🤣🤣
Kigoma pia ujenzi unaendelea wa Dual Carriage,Mwanza hakuna 😁😁
Naomba picha za Ilemela dual Carriage nikupe wife wangu Bure 😆😆
Unatia aibu 🤣🤣🤣🤣ChoiceVariable we mbwiga kula chuma cha Ilemela, Mwanza dual carriage 10km 👇👇
View attachment 2798906
Leta dual kama hiyo zizini mbeya hata ya 1km kama ya misungwi.Unatia aibu 🤣🤣🤣🤣