ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,218
- 85,098
- Thread starter
- #17,501
Toa ujinga hapa wewe, Sumbawanga ni Kati ya Miji 12 mikubwa hapa Tanzania na ndio maana Tactic Iko awamu ya kwanza.Mk
Sumbawanga size yake ni muleba mkuu...
Bukoba achana nayo....
Ile shopping mall yetu Iko hatua nzr sana
Wakati wanachagua walikuwa wanatumia vigezo ikiwemo population,hicho Kijiji chako Cha Muleba kalinganishe na Misungwi.