Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

1695952475083.jpg
 
Ndio ni Barabara tuu Kwa package one,masoko na Stand wanatangaza tender mwezi wa 10.

Naona Mwanza CC& Ilemela imependelewa kweli kweli, Barabara tuu ni km 26.8 Bado masoko yanakuja,mitaro inakuja kwenye package ya II
Mwanza cc kuna mradi wa kingo za mto mirongo sijui nao utakuwemo au wameuchinjilia baharini... Hii nchi ngumu sana
 
Ndio ni Barabara tuu Kwa package one,masoko na Stand wanatangaza tender mwezi wa 10.

Naona Mwanza CC& Ilemela imependelewa kweli kweli, Barabara tuu ni km 26.8 Bado masoko yanakuja,mitaro inakuja kwenye package ya II
Tulistahili kupata angalau kilometa 50 za kutufuta machozi, Ilemela 25km na Mwanza 25km
 
Kwa kuwa nyie ndio Tanzania kwingine ni Burundi au siyo?
Punguza jazba Mwanza ni jiji la pili kwa ukubwa na ukiangalia hatutendewi haki Mwanza jiji inapata 14km hii ni haki kweli? Na mji kama tunduma nawenyewe umepata kilometa 14 sawa na Mwanza cc, huoni sio sawa.
 
Kumbuka Dar ilipokea bilion 800+ zaidi ya kilometa 800 za lami sisi kupata kilometa 14 kwa Mwanza cc na 14 kwa Ilemela unaona nongwa.
Dar ni exceptional.Dodoma inaenda kuwa exceptional nyingine so nyie kina Mwanza na Mbeya jiongezeni
 
Back
Top Bottom