Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Latra Sasa ni MWENDO WA saa 24 wameamua waongeze ofisi za wilaya
1696385715732.jpg
 
Kazi inaendelea kurekebisha baadhi ya miundombinu mataifa zaidi ya Saba yameanza kuja kununua mazao ndani ya soko la mazao ambalo now limekuwa la kimataifa makambako tc👇👇👇👇👇Zaidi ya Wafanyabiashara 1,000
img-20231007-wa0010-jpg.2774504
wa soko la mazao la kimataifa linalouza mazao katika nchi 7 za Africa Mashariki na Kati lililopo Lyamkeni halmashauri ya mji wa Makambako wilayani Njombe wameomba serikali kujenga kituo kidogo cha polisi,Huduma ya mawasiliano ya simu pamoja Kuleta huduma za kifedha katika kituo hicho ili kulinda usalama wa fedha za wafanyabiashara na wateja kwasababu wako hatarini kupokwa fedha na majambazi kutokana na kutembea umbali mrefu kufata huduma za kibenki.

Wamesema usalama wao upo pabaya kwasababu kuna biashara kubwa zinafanyika katika soko hilo zikihusisha mabilioni ya fedha na wateja kutoka nchi za Rwanda,Malawi Burundi Uganda Congo Zambia na Msumbiji
 

Attachments

  • IMG-20231007-WA0010.jpg
    IMG-20231007-WA0010.jpg
    26.8 KB · Views: 6
Back
Top Bottom