Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Shinyanga-Mwanza ni mbali sana wewe mtu wa Njombe una matatizo.

Ona una ndoto mfu tena kwamba Njombe baada ya miaka 10-15 itazipita Iringa na Songea hivi hao watu wa Iringa watakuwa wamelala tu?

Njombe inaweza kuipita Lindi ila sio Iringa na Songea
Sasa mkuu lindi imeingiaje hapa bhana argh🤣🤣. Kwani imewakosea nini🤣🤣🤣
 
Makambako tc Kazi ya ku connect Barabara kwa lami na kata za pemben unaendelea baada ya kumaliza za katikati ya mji ujenzi wa daraja unaendelea
1694246120356.jpg
 
Mdau anadai Mikoa ya Kusini mwa #Tanzania mfano #Lindi na #Mtwara haifikiki kwa urahisi kwa njia ya Barabara kwa mtu anayetokea Kanda ya Kati, Magharibi, Kanda ya Ziwa na Kaskazini kwa kuwa kunakosekana muunganiko wa Barabara Kuu

Anatoa wito kwa Serikali kujenga Barabara Kuu kuanzia Iringa Mjini/Ipogolo kupitia Kilolo, Ifakara, Mahenge hadi Liwale

Mdau anasema barabara hiyo itatoa fursa za Utalii kwenye Hifadhi ya Nyerere (Selous) na ikitokea changamoto kwenye Barabara Kuu ya #Tanzam (Barabara Kuu kati ya Dar es Salaam na Lusaka) magari yatapitia Ifakara hadi Mikumi na maisha yataendelea bila usumbufu

Soma Serikali Jengeni Barabara ya Lami Kutoka Iringa-Kilolo-Ifakara-Mahenge Hadi Liwale/Lindi Ili Kufungua Uchumi wa Mikoa ya Kusini na Kanda ya Ziwa

#JamiiForums #Governance #ServiceDelivery #JFHuduma
1694390767027.jpg
 
Makusanyo ya ndani Kwa Halmashauri za Mkoa wa Mbeya mwaka 2022/2023

View: https://www.instagram.com/p/CuT7kWStC0z/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
Hongera Jiji la Mbeya,ndani ya mwaka mmja kuongeza mapato kutoka 15.7b Hadi 18.5 ni kazi nzuri. Natarajia Next Financial year mjitahidi kufikia Bil.20 Ili muingie kwenye Ligi ya Majiji Makubwa Tanzania Kwa kipato.

View: https://twitter.com/TheChanzo/status/1698732886642307222?t=0DBgQCgcHREt--Sx1Oz9cQ&s=19

My Take
Mbeya inatakiwa kukaza buti walau ivuke bln 50
1135578494.jpg
 
Back
Top Bottom