Ubaruku -Swax Kuna Kampuni kibao tuu MkuuHichi kipande Cha nyororo ,makambako hadi ubaruku watu wanazidi kupachika magari ni kipande pia baada ya kukamilika stendi ya nyororo mufindi kitakuwa na stendi tatu igawa ,makambako na nyororo kinaongezeko la watuView attachment 2752378 View attachment 2752372View attachment 2752368View attachment 2752420
The largest slum of all time.
Wivu tuu 😁😁Background kuna mazizi ya ndama na mbuzi.
Hako ka hospital naona kanapunguza ukali wa mazizi ya mbuzi, pia nyumba za matope na udongo zilishapitwa na wakati jengeni kisasa.Wivu tuu 😁😁View attachment 2753223
Mbeya ni next levelHako ka hospital naona kanapunguza ukali wa mazizi ya mbuzi, pia nyumba za matope na udongo zilishapitwa na wakati jengeni kisasa.
Mnajitaidi kidogo mnakimbizana na bukoba.