Kahama VS Njombe/Mafinga

Mbeya cc kunanguvu inatakiwa iongezwe 👇👇👇👇👇👇👇👇👇“Barabara za jiji la Mbeya karibia kilometa 400 ni za vumbi, ni vile tu wewe wanakupitisha kwenye hizi barabara hujapata picha, kwasababu jiji hili liko nyuma ya majiji yote nchini tunakuomba utusaidie kwenye hizi barabara za vumbi” - Dkt. Tulia Ackson, Spika wa Bunge la Tanzania #NaneNane2023
 
Rais Samia watu hawajamsoma yaani Huwa ni mtu wa ajenda za kiujumla sio specific na Kwa hiyo hawezi kusemea hii na Bora angekuwa ziarani.
 
Kwa kweli vumbi linatisha, halafu ni lile laini kama jivu
 
Inapita Njombe(Stop Lupembe), inaenda Lupembe, inashukia karibu na Chitta huko (Moro), then Mlimba - Kihansi, Mbingu - Mngeta, Ifakara - Kidatu, Mikumi. Kipande kisumbufu Ni Ifakara - Lupembe.
Sio Leo wala kesho mzee, Kipande cha ifakara to Kilombero tu bado hakijaisha, Sembuse icho cha ifakara mpaka mlimba
 
Sio Leo wala kesho mzee, Kipande cha ifakara to Kilombero tu bado hakijaisha, Sembuse icho cha ifakara mpaka mlimba
Kabisa maana nimefuatilia Bungeni ndio kwanza wako kwenye design kutokea Njombe.

Hiyo Barabara sio ya Leo Wala kesho.

Pia Serikali ingefikilia kujenga Barabara nyingine kutokea Iringa Mjini/Ipogolo-Kilolo-Idete Hadi Ifakara ikaunge na hiyo ambayo itaenda Njombe,hiyo ni Barabara ya uchumi sana.
 
Wakenya wameiexplore Bukoba na wanaiona iko developed to be city kwa upande fulani...
Bora leo tumepata watembeleaji wa Bukoba wasio watz maana watz wanafika Bukoba na chuki zao kwa wahaya ambazo sijui zinatoka wap...
Watu wanatembela stendi tu na old part halafu wanaconclude tu....

Bukoba iko mbali sana...na wana episode 2...

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…