nkanziga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 700
- 1,116
Msigwa watu wa Mbeya atawaletea lini G7.... EBJ series below.
Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
Tumetoka kwenye G7 Tumeaanza mega .Mwanza na MEGA namba MUPYAView attachment 2706657
Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app


...vipi hii kampuni ganiMasalu High ClassTumetoka kwenye G7 Tumeaanza mega ....vipi hii kampuni gani
Tumetoka kwenye G7 Tumeaanza mega ....vipi hii kampuni gani
Mwanza na MEGA namba MUPYAView attachment 2706657
Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
Msigwa watu wa Mbeya atawaletea lini G7.... EBJ series below.View attachment 2706654
Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
Mtaishia kuona Twitter tuu,Nyanda za Juu Kusini ni 🔥🔥🔥
Mwanza university is now Open..maji mtayaita MMA ...


Wapi Majengo ya Mwanza University 😆😆Mwanza university is now Open..maji mtayaita MMA ...
Mpaka Sasa vyuo vikuu
SAUT
CUHAS
MWANZA UNIVERSITY
Campuses
TIA ,CBE, MIPANGO,IFM,ADEM ,NTC ,na zote wanajenga majengo ya kisasa ..
Ardhi university washaanza ujenzi View attachment 2707265View attachment 2707266View attachment 2707267
Mbeya ni hovyo kabisaJamani msichukie napita tuu

wameiweka kwenye mikoa mingine 


Kwani lazima tusafiri na ndege? Tulia dozi ikuingie tuko kwenye GDP ,mwaka huu 2023 Kwa mara ya kwanza tutasoma miamala ya GDP ya zaidi ya 10 Trilioni porojo za ndege tupa hukoMbeya ni hovyo kabisa
Haimo kwenye mikoa yenye abiria wengi wa ndege ....nbswameiweka kwenye mikoa mingine
Mikoa yenye abiria wengi wa ndege mwaka 2022
1 dar es salaam
2 Zanzibar
3 mwanza
4 Kilimanjaro
5 Arusha
6 dodoma View attachment 2708594
Huoni aibu ..inawachukua miaka 3 kupata 2trilionKwani lazima tusafiri na ndege? Tulia dozi ikuingie tuko kwenye GDP ,mwaka huu 2023 Kwa mara ya kwanza tutasoma miamala ya GDP ya zaidi ya 10 Trilioni porojo za ndege tupa huko


..mwaka 2020 mlikuwa na trilion 8 Hadi Leo 2022 mna trilion 9....Ndipo mjue nyie ni maskiniKwani lazima tusafiri na ndege? Tulia dozi ikuingie tuko kwenye GDP ,mwaka huu 2023 Kwa mara ya kwanza tutasoma miamala ya GDP ya zaidi ya 10 Trilioni porojo za ndege tupa huko
Uliwahi kuona wapi maskini anaongoza kwenye uchumi?Ndipo mjue nyie ni maskini