Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Mfano makambako tc ilipanga kukusanya mapato kwa makadilio ya 4.2 June ilikuwa 95 asilimia now hadi July imefikisha mia mapato yake yamepanda ukiangalia na wangingombe hivo hivo ila funiko ni makete dc

HALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAOFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAAHALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO​

Toggle navigation

Halmashauri ya Mji Makambako yapongezwa kwa kuvuka vizuri ukaguzi wa hesabu na kupata hati safi.​

thumb_1666_800x420_0_0_auto.jpg
Tarehe Iliyowekwa: June 16th, 2023
Na. Lina Sanga
Halmashauri ya Mji Makambako imepongezwa kwa kuvuka vizuri hatua ya ukaguzi wa hesabu za Serikali na kupata hati safi mfululizo tangu kuanzishwa kwa Halmashauri mwaka 2012.
Pongezi hizo zimetolewa leo na Katibu Tawala Mkoa wa Njombe,Bi. Judica Omari kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe,Mhe. Anthony Mtaka katika mkutano maalum wa baraza la madiwani la kupitia mpango kazi na majibu ya menejimenti kwa ajili ya utekelezaji wa hoja za mdhibiti mkuu wa hesabu za Serikali kuishia juni 30,2022.
Judica amesema kuwa,kupata hati safi mfululizo ni kiashiria kikubwa cha uwepo wa ushirikiano baina ya Madiwani na wataalamu katika kusimamia miongozo,sheria na kanuni katika usimamizi fedha zilizopo kwenye bajeti na utekelezaji wa miradi ya maendeleo ambayo imepokea fedha nyingi kutoka Serikali kuu na kuhakikisha inakamilika kwa wakati.
Aidha,ameipongeza Halmashauri ya Mji Makambako kwa kufikia asilimia 95 ya ukusanyaji wa mapato na kutoa rai kwa Menejimenti kuhakikisha asilimia 5 iliyobaki inapatikana na kufikia asilimia 100 ya ukusanyaji wa mapato ifikapo juni 30,mwaka huu.
Naye,Willy Undule, Mkaguzi Mkuu wa hesabu Mkoa wa Njombe, amepongeza na kutoa rai kwa Halmashauri ya Mji Makambako kuendeleza ushirikiano katika utendaji kazi ili kuendelea kupata hati safi na kuhakikisha hoja zilizobaki zinafungwa.
Awali akiwasilisha taarifa ya kupitia mpango kazi na majibu ya menejimenti kwa ajili ya utekelezaji wa hoja za Mdhibiti Mkuu wa hesabu za Serikali, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Makambako,Kenneth Haule amesema kuwa,katika taarifa ya ukaguzi wa hesabu kwa mwaka 2021/2022 Halmashauri ilikuwa na jumla ya hoja 20,kati ya hizo hoja 15 zilijibiwa na kufungwa na hoja 5 zilizobaki utekelezaji umefanyika kwa sehemu na ufuatiliaji unaendelea kufanyika.
Pia, katika taarifa ya hesabu za mradi wa mfuko wa Afya wa pamoja kwa mwaka 2021/2022,Halmashauri ilikuwa na jumla ya hoja 4,kati ya hizo hoja 3 zimejibiwa na kufungwa na hoja 1 iliyobaki utekelezaji wake umefanyika kwa sehemu.
Aidha,katika taarifa ya hesabu za mradi wa mfuko wa wanawake, Vijana na watu wenye ulemavu kwa mwaka 2021/2022,Halmashauri ilikuwa na jumla ya hoja 5,kati ya hizo hoja 3 zimejibiwa na kufungwa na hoja 2 utekelezaji wake umefanyika kwa sehemu.

free HitCounter
matomo.php



Ramani ya Eneo​


Wasiliana nasi​

  • Makambako Town Council
    Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
    Simu ya mezani: 026-2730044
    Simu ya Kiganjani: 0785635383
    Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Mawasiliano Mengine

 
Ifakara lazima iipite kwa sababu Kule uzalishaji haujaathiriwa kama njombe tc na hii ushuru wa maegesho ya maroli umeziboost Sana halmashaur zinazopitiwa na TAZAM HIGH WAY
Makete ndio Itaanza kuongoza Kwa mapato.

Mwisho Ifakara inaenda Kupitia Njombe Kwa mapato kama sio mwaka huu basi ujao.
 
Got it!
This website uses cookies and third-party services. Show Privacy Policy

CITY POPULATION – statistics, maps & charts​

Home Index Search New Help

HomeAfricaTanzaniaAdministrative Division

NJOMBE TOWN​

Tanzania

Population​

The population development of Njombe Town as well as related information and services (Wikipedia, Google, images).

NamePopulation
Census
1988-08-27
Population
Census
2002-08-01
Population
Census
2012-08-26
Population
Census
2022-08-23
Njombe Town......130,223182,127
Njombe Town

182,127 Population [2022] – Census
3,536 km² Area
51.51/km² Population Density [2022]
3.4% Annual Population Change [2012 → 2022]

wd_icon.svg
Njombe Urban District: district in Njombe Region, Tanzania
Map Chart Wikipedia Google Search Image Search Hotels Restaurants Shops Sights
Tanzania23,174,33634,443,60344,928,92361,741,120
Source: National Bureau of Statistics Tanzania.

Explanation: Area figures of districts are calculated from geospatial data.


Further information about the population structure:​

GenderPersons
Males86,333
Females95,794

Gender (C 2022)
Males86,333
Females95,794

UrbanizationPersons
Rural89,590
Urban92,537

Urbanization (C 2022)
Rural89,590
Urban92,537

Age GroupsPersons
0-14 years65,201
15-64 years110,061
65+ years6,865

Age Groups (C 2022)
0-14 years65,201
15-64 years110,061
65+ years6,865

Age DistributionMalesFemales
0-9 years2243922988
10-19 years1854419636
20-29 years1666819870
30-39 years1243713612
40-49 years77968307
50-59 years42065140
60-69 years25483407
70-79 years11591753
80+ years5361081

Age Distribution (C 2022)
0-9 years45,427
10-19 years38,180
20-29 years36,538
30-39 years26,049
40-49 years16,103
50-59 years9,346
60-69 years5,955
70-79 years2,912
80+ years1,617

See also:​

Located in:​

 
Makambako tc project hazipoi Ni mwendo wa kuvunjwa mijengo ya zaman na kupandisha vitu wapo busy kuibadilisha taswira ya CBD
IMG_20230731_181006_951~2.jpg
 
Back
Top Bottom