Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Kiukweli Majambako naifahamu vzr Sana kimaendeleo ipo nyuma Sana kwa Kahama kuanzia hadhi ya nyumba za kulala wageni guest house,benki kubwa za kibiashara,uwepo was supermarket ukubwa wa eneo lakini Makambako imeshamiri biashara za pombe maeneo Kama capetown Sarcillo three zero one ,pia hotel za Makambako zinahadhi ndogo wamiliki wakubwa ni waking lakini Kahama Kuna hotel kubwa Kama Kahama hotel ,submarine ambazo zote Zina swimming pool vilevile Kahama inahadhi ya mainispaa wakati Makambako mamlaka ya mji mdogo pote napafahamu vzr mwenye uelewa tofauti naomba kuwasilisha
 
We kaa kimya hujui unachoongea ukiona hadi Leo unasema makambako mji mdogo basi hata mada hujui ilipo anzia pole na hapa hatuangalii mmiliki ni Nan Pili HiYo mitaa unayotaja ni ya bar na guest mtaa wa maduka ya vinywaji unaitwa mtaa wa azimio ule ndo maduka ya jumla ya vinywaji yalipo ninacho jua Mimi kahama inacho izidi makambako ni mapato na population kama hujui kumbuka alivokuja makam wa rais makambako tayar aliwambia Kuna kata za wilaya ya njombe na wangingombe zinaingizwa makambako ko eneo la kiutawala kinaenda kuwa 1300 plus sq km ambayo itawiana na kahama ndo maana nasema umekurupuka kwenye mada angalia hata Barabara za mitaa ziko vp kwafaida Yako soma hapo mji ulianza lini na una miaka mingapi
1689146370259.jpg
FB_IMG_16875901970702091.jpg
 
Kiukweli Majambako naifahamu vzr Sana kimaendeleo ipo nyuma Sana kwa Kahama kuanzia hadhi ya nyumba za kulala wageni guest house,benki kubwa za kibiashara,uwepo was supermarket ukubwa wa eneo lakini Makambako imeshamiri biashara za pombe maeneo Kama capetown Sarcillo three zero one ,pia hotel za Makambako zinahadhi ndogo wamiliki wakubwa ni waking lakini Kahama Kuna hotel kubwa Kama Kahama hotel ,submarine ambazo zote Zina swimming pool vilevile Kahama inahadhi ya mainispaa wakati Makambako mamlaka ya mji mdogo pote napafahamu vzr mwenye uelewa tofauti naomba kuwasilisha
Usituletee hadithi hapa Sasa hizi zinatofauti gan na za kahama
FB_IMG_16840315451143779~2.jpg
FB_IMG_16777220132761310.jpg
FB_IMG_16755157496263082.jpg
IMG_20220904_184221_169-scaled.jpg
FB_IMG_16721134174282919.jpg
FB_IMG_16721135230541475~2.jpg
1689146370259.jpg
 
Naona miji ya kwenye junction ni mwendo wa ring Road hizo ni master plan ya jiji la dodoma na jiji la mbeya Miji
EcfKWlqWAAExAiA.jpg
4.JPG
4.JPG
 
Aisee mbona mapato kiduchu hivi? Njombe Kwa mara ya mwisho ilikusanya bil.6.5 hii ya Sasa vipi?
Ishu road ya makete nayo imechagia wanunuz wa mbao saiz wanaenda direct makete na bado ikifunguka ya ludewa yatashuka zaidi mara ya kwanza watu walikuwa wanaleta njombe ndo wauze bado zao la viaz saiz watu wamehamia kulima makete na bado now wanajadili kupunguza eneo la kiutawala ili iwe manispaa mapato yatashuka zaidi
 
Kama pesa inahamia Makete sawa ila sitarajii mapato ya Mkoa Kwa ujumla yashuke ,itakuwa Kuna shida mahala.

Tuwekee mapato ya Halmashauri zote maana huyu Waziri wa Tamisemi wa Sasa ni mpuuzi mmja aliondoa hii kipengele ya kushindanisha
 
Mapato ya mkoa hayawez kushuka maana Kuna baadhi ya halmashauri zilizo kuwa chini now mapato ndo yameongezeka zaidi
 
Back
Top Bottom