Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Uzuri kasema mbeya...sio Tz...

Maana Tz hii hakuna shule yenye mabasi Bora na ya kisasa kama Kaizirege na mwenzake Kemebos...

Bado na Adolph kolping Bukoba ina mabasi mazuri kushinda hio shule yako
Mbeya ni sehemu ya malawi kama sio Zambia.
 
Na hizi za braeburn vipi
images (1).jpg
 
Hiv mbeya ujenzi wa barabara ushaanza au bado mobilization
 
Hiv hizo tactic zinaanza lini...

Maana nimekuwa disappointed ujenzi wa stendi kuu ya Bukoba kupigwa stop...eti wasubiri mradi wa tactic....

Nadhani kuna watu wananufaika miundombinu ya baadhi ya miji ikibaki mibovu...
Bukoba sasa ni kiangazi...ni muda mzr wa ujenzi wa vitu kama stendi...lakin nchi hii basi tupu...
 
Nilishasema kwamba stendi ya bukoba haiwezi kujengwa kwa sababu ni mtego wa kuombea kura kila msimu, Mungu atupe uhai utakumbuka haya maneno.
 
Nitashangaa sana TanRoads wakishindwa kujenga cheap flyover kama.hii hapa pale Mafiati,Meta na Uyole
20230726_181741.jpg
 
Hiv hizo tactic zinaanza lini...

Maana nimekuwa disappointed ujenzi wa stendi kuu ya Bukoba kupigwa stop...eti wasubiri mradi wa tactic....

Nadhani kuna watu wananufaika miundombinu ya baadhi ya miji ikibaki mibovu...
Bukoba sasa ni kiangazi...ni muda mzr wa ujenzi wa vitu kama stendi...lakin nchi hii basi tupu...
Mwezi wa 8 ila hiyo ni miradi ya kuombea kura 2025 so Haina haraka sana.
 
Back
Top Bottom