Kahama VS Njombe/Mafinga

Sasa billion 3 zitawezaje kujenga kilometers 53?
 
SERIKALI KUANZA KUJENGA UPYA BARABARA YA LAMI SONGEA-MAKAMBAKO
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt,Philip Mpango amesema amekataa kupanda ndege na kuutumia usafiri wa barabara ili kuona changamoto ya barabara ya Makambako hadi Songea.
Dkt,Mpango ameeleza hayo wakati anazungumza na wananchi wa vijiji vya Lilondo na Mlilayoyo mkoani Ruvuma baada ya kuanza ziara ya kikazi ya siku tano mkoani Ruvuma..
"Watu wangu walijaribu kunishawishi niende kwa ndege nikawaambia sisi hatutawali hayo mawingu nataka kupita watu wangu waliko,kwa kweli moja ya sababu zangu za msingi ni kuona barabara hii (Makambako - Songea) bahati nzuri naibu waziri ametoa maelezo kwa hiyo ninataka kusisitiza vipande vyote ambavyo vimewekewa fedha kwenye bajeti ya mwaka huu muanze kufanya kazi mara moja.
Dkt Mpango amesema serikali imetenga fedha kuanza kutekeleza ujenzi wa barabara hiyo kwa kiwango cha lami nzito kipande cha Songea hadi Lutukila chenye urefu wa KM 98 na kwamba utekelezaji wa mradi huo unaanza mwaka huu.
Dkt,Mpango ameagiza wizara ya Fedha kuhakikisha inatafuta fedha kwa ajili ya ukarabati wa barabara ya kutoka kipande cha kutoka Lutukila kufika Makambako kwa kuwa chakula kingi kinatoka mikoa ya kusini hasa mkoa wa Ruvuma ambao ni kapu la chakula nchini.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt Philip Mpango ameanza ziara ya kikazi ya siku tano mkoani Ruvuma inayotarajia kukamilika Julai 24,2023.
 
Haya makambako HiYo shopping mall na inajengwa na mtu binafsi na bado floor zinaendelea kuongezeka nguvu ya pesa na kuweka mji kibiashara zaidi

View attachment 2696668View attachment 2696669
Huwezi linganisha hilo jengo na hii shopping mall inayojengwa Bukoba...majengo ya aina hiyo yako mengi sana Bukoba hadi kahama huko..

Hii ni shoppinga mall kabisa na itakuwa na wafanya biashara zaidi 500...
 
Attachments

  • fddse.JPG
    80.6 KB · Views: 11
  • dfg.JPG
    232.1 KB · Views: 8
  • F0NZcJAWIAczzt1%20(1).jpg
    48.3 KB · Views: 8
  • Screenshot_20230716-143648.jpg
    60.5 KB · Views: 11
Haya makambako HiYo shopping mall na inajengwa na mtu binafsi na bado floor zinaendelea kuongezeka nguvu ya pesa na kuweka mji kibiashara zaidi

View attachment 2696668View attachment 2696669
Nikipita makambako...bado hakuna muonekano wa kimji....hata towm hapaeleweki ni wap...hata stendi ya hapo ina vumbi hatari...

Plus future slums zinatengenezwa kwa kasi...
 
La
Nikipita makambako...bado hakuna muonekano wa kimji....hata towm hapaeleweki ni wap...hata stendi ya hapo ina vumbi hatari...

Plus future slums zinatengenezwa kwa kasi...
Labda slum za bukoba huku tunaonesha umwamba WA pesa sio kutegemea mashirika ya kidini ndo yawafikilie kumbuka HiYo inakwenda juu zaidi ya gorofa Tano na tayari floor ya chini Ina maduka zaidi ya 70 kumbi ofisi ,hotel nk
 
Hivi mtu wa bukoba unajichetua akili eti unacheka stendi ya makambako na kahama kwani bukoba Kuna standi
 
Nikipita makambako...bado hakuna muonekano wa kimji....hata towm hapaeleweki ni wap...hata stendi ya hapo ina vumbi hatari...

Plus future slums zinatengenezwa kwa kasi...
#IceFmHabari
Wafanyabiashara ambao watapisha ujenzi wa soko kuu mjini Makambako wilayani Njombe ambao unatarajia kuanza mwakani 2024 wameiomba Halmashauri kuwahamishia kwenye maeneo rafiki kulingana na biashara zao ili kuwaepusha na hasara wanayoweza kuipata.

Wakizungumza wakati wa mkutano na Mbunge wa jimbo Deo Sangaambao umefanyika standi ya zamani mjini Makambako, wamesema halmashauri inatakiwa kuhakikisha wafanyabiashara wanahamishiwa eneo moja ili wasiwapoteze wateja wao.

wafanyabiashara hao wamesema pindi ujenzi wa soko utakapo kamilika wanatakiwa kurejeshwa kwenye maeneo yao badala ya kupewa kipaumbele watu wengine.

Aidha mwenyekiti wa jumuiya ya wafanyabiashara mkoa wa Njombe na Nyanda za juu Kusini Siphael Msigala amewataka wafanyabiashara kuendelea kutoa maoni yao ya wapi wanataka waende ili waendelee kufanya biashara zao pindi soko linajengwa badala ya kuhama Makambako.

Akizungumza katika mkutano huo Mbunge Deo Sanga amesema jimbo lake katika mwaka wa fedha 2024-2025 limetengewa fedha zaidi ya bilioni 12 kwaajili ya kuanza ujenzi wa soko la kisasa na standi ya mabasi na kueleza kuwa utekelezaji wake utaanza mwakani 2024.

Na @cleefmlelwah ✍🏾

#Miaka10YaIceFmRadio_Waleteee
 
Huwezi linganisha hilo jengo na hii shopping mall inayojengwa Bukoba...majengo ya aina hiyo yako mengi sana Bukoba hadi kahama huko..

Hii ni shoppinga mall kabisa na itakuwa na wafanya biashara zaidi 500...View attachment 2696827
HAHAha shopping mall Zina designiwa kwa mitindo mingi et majengo haya yapo sehemu nyingi najua siku moja utakuja ujifunze na kumbuka mji wa makambako umeanza mwaka 2012 Leo hii tayar watu wanawekeza project kubwa kama hiz na bukoba ni miongoni mwa miji mikongwe Leo hii inaanza kujisifia na project kama hiz kweli mkoa wa njombe watu wanapesa na kwa nchi yetu mall nyingi zipo kwenye majiji na ni baadhi kama dsm ,Arusha ,mwanza na dodoma
 
Hivi mtu wa bukoba unajichetua akili eti unacheka stendi ya makambako na kahama kwani bukoba Kuna standi
Nani kasema Bukoba kuna stendi?

Acha kupaniki...mimi nimeongea uhalisia wa makambako...ule mji ni future slum tu...

Nami nikikuuliza huko njombe sijui makambako kuna Airport? Kuna mji wowote hata wenye hadhi ya municipality?
 
U

Vigezo vya manispaa vipo wazi angalia alafu iangalie miji ya njombe kama haijakidhi hivyo vigezo na kupitiliza kabisa
 
Nani kasema Bukoba kuna stendi?

Acha kupaniki...mimi nimeongea uhalisia wa makambako...ule mji ni future slum tu...

Nami nikikuuliza huko njombe sijui makambako kuna Airport? Kuna mji wowote hata wenye hadhi ya municipality?
TuMe kwambia Wacha pesa iongee tutaelewana tu na ukongwe wenu ili takiwa muanze kutunishiana misuri Na majiji kama mwanza ,Arusha , mbeya ,Dodoma chaajabu mnatuletea project ambazo zinafanyika kwenye miji iliyo Anza 2012 hii ni aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…