Kahama VS Njombe/Mafinga

Simiyu inatuangusha sana ....huo mkoa haukujiandaa urudishwe Mwanza
Sisi tuliwapa maeneo tajiri ya lamadi, busega, tulimega kutoka Magu, bila hayo maeneo simiyu ingekuwa kama katavi kwa umasikini na bado naona ni mkoa masikini kaliba ya katavi na lindi.
 
Na huu ndo ukweli hiv mkoa wa pwani wakazi wake walivyo kaa kaa unaweza linganisha hata hali ya maisha ya wakazi wa muleba?


Hebu angalia hii mitaa ya bukoba...Kagera miaka ya 2010 kurudi nyuma ilikuwa haikosi top ten kwenye mikoa yenye maisha bora...leo hii 2023 eti ndo maskini zaidi...
 
Achana na madata ya kupikwa ya hii nchi ya mazombie, hizo takwimu nikizoweka mimi ndio sahihi hazina mbamba mbamba wala nyenye nyenye
 
Kote huku Chanzo ni ushirikina
 


 
We Kwa akili Yako Rukwa ni Maskini kweli? Mikoa Mingi hapo naifahamu kasoro Kigoma na Lindi .
 
Hizi bei mnazosema zimeshuka ni Mafanikio makubwa Kwa mkulima maana haijawahi kuwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…