Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

List inaendelea
mwanza to kigoma
Aifola
Takbir .
Adventure.
Mwanza to Kanda ya ziwa (bukoba /geita/kahama)
sabuni
Tungis
Frester road way
Zuberi
Alys .
Kisire
King msukuma
Nyehunge
Mwanza to Kanda ya ziwa (bariadi/musoma/tarime /sirari)
Champion
Kisire
Batco
Zakaria
Nyamse
Isagilo
Africa Raha

To be continued
Mbeya Dodoma
Shabiby
Kimbinyiko
Magaula
Machame
Swahili
Ngasere
Mk Classic
20230626_072403.jpg
 
Hamna hata hiace .... sembuse... Kahama Ina ruti za majiji haya

Tanga .
Mwanza.
Dar es salaam
Arusha.
Dodoma..
Njombe to Majiji and Mikoani
Dar
Arusha
Mwanza
Mbeya
Dodoma

Wapi Kahama-Tanga? Weka hapa Busi tuone
 
Hapo ni kutumia vizuri geographical position ya mji ulipo ko bado nyanda za juu kusin Ina mji wa aina HiYo ukiangalia kahama inategemewa ku supply mizigo kwenye wilaya za almost mikoa mitano Yan shinyanga yenyewe, Kagera,geita,tabora na kigoma kitu ambacho ni sawa na mji wa makambako una supply mzigo njombe yenyewe ,iringa ,ruvuma ,morogoro hususa zone ya ifakara,na mbeya especially mbarali ko kuimarika kwa bandar hii miji inakwenda kukua zaidi ikiwa na kuanzishwa kwa bandari kavu pia na miji ya border inaenda kukua zaidi kama tunduma na hii imepelekea kampuni nyingi za kibiashara kufungu branch za ofisi zao kwenye hii miji mfano azania ,dangote cement ,Simba cement, mo product nk hii nikutokana urahisi wa soko Cha msingi ni kuimarisha miundombinu mfano Barabara za katikati ya mji ili kuvutia zaidi wawekezaji na maeneo ya uzalishaji View attachment 2666966View attachment 2667084
Ungekuwa unajua umbali kutoka kahama hadi Bukoba au Kigoma usingeandika huu utumbo...
Kwa bukoba mizigo yake mingi inatoka Mwamza kwa meli...na hio ndo nia ya serikali...mizigo inakuja hadi mwanza then meli hadi bukoba ndo maana unaona meli ya MV Victoria, nyakibolwa, etc zipo zinatoa huduma...na kuna meli kubwa ya MV Mwanza inaanza soon...
 
Hamna hata hiace .... sembuse... Kahama Ina ruti za majiji haya

Tanga .
Mwanza.
Dar es salaam
Arusha.
Dodoma..
Kamanda route ya Mwanza Tanga kwa sasa ipo, wakati naenda Iringa nilikutana na jamaa mjaluo ambaye ni Ticha kama mpwayungu, alikuwa anaenda Tanga kureport akitokea Nyegezi, Mwanza nikataka kujua anapanda gari gani lakini nikajikuta nasahau, me nikapanda Isamilo.
 
Ungekuwa unajua umbali kutoka kahama hadi Bukoba au Kigoma usingeandika huu utumbo...
Kwa bukoba mizigo yake mingi inatoka Mwamza kwa meli...na hio ndo nia ya serikali...mizigo inakuja hadi mwanza then meli hadi bukoba ndo maana unaona meli ya MV Victoria, nyakibolwa, etc zipo zinatoa huduma...na kuna meli kubwa ya MV Mwanza inaanza soon...
Tumekwambia baadhi ya wilaya za Kagera Na bado kigoma hivohivo acha kupinga ukweli tunafanya biashara haya mambo yanafahamika
 
TAZARA has opened up many areas to business opportunities.
...............................

TAZARA imefungua maeneo mengi kwa fursa za biashara

----------------------------------------------------------
#tazara #tzr #kusini #southern #reli #Tanzania #Zambia #treni #train #travel #safari #mbeya #makambako #newkapirimposh #safari #ordinary #nakonde #tunduma #express #tazarah#DRC #mpika #kasama # #mkushi # #daressalaam#copperbelt
 
emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Kilimo
Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula​

Logo

  1. Kanda ya Makambako

Kanda ya Makambako​

Ofisi za Kanda ya Makambako zipo katika Mji wa Makambako, Mkoa wa Njombe na inaongozwa na Meneja wa Kanda. Kanda ilianzishwa kimkakati ili kuweza kuhudumia Mikoa ya Njombe, Iringa, Mbeya na Songwe. Katika kuongeza ufanisi, Kanda hii iligawanywa na kutoa kanda mbili ambazo ni Kanda ya Makambako (Njombe na Iringa) na Songwe (Songwe na Mbeya). Kanda ya Makambako ina maghala yenye uwezo wa kuhifadhi tani 22,000 za nafaka.
Kwa sasa, Wakala inatekeleza mradi wa kuongeza uwezo wa kuhifadhi nafaka kwa kujenga vihenge na maghala ya kisasa ili kuboresha miundo ya uhifadhi katika eneo la Makambako. Kukamilika kwa mradi huu kutawezesha kuongeza uwezo wa kuhifadhi nafaka kutoka tani 22,000 zilizopo sasa hadi tani 62,000.
Nafaka zinazonunuliwa, kuhifadhiwa na kuzungushwa/kuuzwa kupitia Kanda ya Makambako ni mahindi na mpunga. Kanda hii kijiografia huwa na uwiano mzuri wa uzalishaji wa mpunga na mahindi kutokana na kuwa na uzalishaji mkubwa wa ziada ya nafaka na imekuwa ni sehemu ya kivutio kwa wanunuzi mbalimbali wa nafaka kutokana na kupatikana kwa wingi na urahisi wa usafirishaji kwa njia ya reli na barabara.
Mawasiliano;

Video​

Kurasa za Karibu​

Tovuti Mashuhuri​

Mawasiliano​

©2023 Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula . Haki zote zimehifadhiwa.
Imesanifiwa, Imetengenezwa, na Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) na Inaendeshwa na Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula
24px.svg

Maandishi halisi

Kadiria tafsiri hii
Maoni yako yatatumika kusaidia kuboresha huduma ya Tafsiri ya Google

DSC_4645-1024x682.jpg
 
Tumekwambia baadhi ya wilaya za Kagera Na bado kigoma hivohivo acha kupinga ukweli tunafanya biashara haya mambo yanafahamika
Hamna usiongee usichokijua kahama inasupply wilaya gan ya kagera? Bora ungesema KATORO Ndo inasupply mizigo Kwa wilaya ya BIHARAMULO na sio kahama
 
List inaendelea
mwanza to kigoma
Aifola
Takbir .
Adventure.
Mwanza to Kanda ya ziwa (bukoba /geita/kahama)
sabuni
Tungis
Frester road way
Zuberi
Alys .
Kisire
King msukuma
Nyehunge
Mwanza to Kanda ya ziwa (bariadi/musoma/tarime /sirari)
Champion
Kisire
Batco
Zakaria
Nyamse
Isagilo
Africa Raha

To be continued

20230625_090705.jpg
 
Ndani ya Njombe
 

Attachments

  • Screenshot_20230626-135408.png
    Screenshot_20230626-135408.png
    256.7 KB · Views: 11
Back
Top Bottom