Kahama VS Njombe/Mafinga

Huu mradi wa Igawa-Tunduama ni zaidi ya sh.Tilioni 1. peke yake na Kwa taarifa Yako kutakuwa na Kambi 4 Kwa pamoja,sections zote ujenzi utakuwa unaendelea..

On top of that kutakuwa na dedicated lanes maalumu Kwa Malori tuu

Pia Waziri amesema Watafikiria kuweka Bypass nyingine Songwe(Vwawa) na Tunduma
 
Mk boy Mtwango ipi inayozungumziwa? Ya Njombe au ipo nyingine?
Pia Kuna Barabara ya Nyololo Mtwango nayo inajengwa Kwa lami ,ndio ipi hasa? Mbona zinanichanganya?
Hiyo ni mtwango ya mufindi sio njombe
Mk boy Mtwango ipi inayozungumziwa? Ya Njombe au ipo nyingine?
Pia Kuna Barabara ya Nyololo Mtwango nayo inajengwa Kwa lami ,ndio ipi hasa? Mbona zinanichanganya?
 
HHa

Hapana HiYo mtwango ni eneo ambalo ni junction ya Barabara ya mafinga mgololo na nyororo ndipo zinapo kutana
Kwa hiyo Ile Mtwango ya Njombe hakuna Barabara yeyote pale?

Kwamba hakuna hata Barabara zingine za kufika Njombe kutoka Mafinga Hadi upite Makambako?
 
Mambo ya kawaida sana hayo ...hizo infrastructure hata singida wanaweza kujengewa lakini nyie miaka elfu sabini ijayo hamtaweza kupata vitu kama hiv
 
Kwa hiyo Ile Mtwango ya Njombe hakuna Barabara yeyote pale?

Kwamba hakuna hata Barabara zingine za kufika Njombe kutoka Mafinga Hadi upite Makambako?
Pale hamna lazima upite makambaKo mtwango ipo inayo kwenda igwachanya na ya lupembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…