Kuweka Dual Carriage kwamaeneo ya ndani ya Mji sawa ila sio njia yote..
-Serikali ikarabati hiyo Barabara yote Kwa kuipanua kama walivyosema
-Ikenge ile Barabara ya Njombe/Ramadhani Hadi Tanzam Highway
-Ikenge Barabara ya Mtwango-Nyololo/Tanzam Highway
-Njombe-Makete-Mbeya
-Njombe-Ifakara
-Itoni/Njombe-Kudewa-Manda-Mbamba Bay
Ikifanyika hivyo Barabara itakuwa safi na Wala hakuna msongamano wa Malori hapo mjini
Kama una moyo tuwekee link ya huyo dalali tukuonyeshe vitu kutoka Kahama
Unahangaika masikini
Hamna kipya hapa[emoji15]Naendelea kuhangaika zaidi kama hivi [emoji38][emoji38]
Mwanza Mwanza πππ€£π€£π€£π€£π€£ππππHamna kipya hapa[emoji15]
Does it cost 700 bilioni [emoji15]Naendelea kuhangaika zaidi kama hivi [emoji38][emoji38]