Kahama VS Njombe/Mafinga

Utakuta nyumbu mmja kutoka Lake zone anakwambia Kusini hakuna pesa Sasa sijui huyu Ngosha wa Simiyu kaja kufanya nini Mbeya akawakacha nyumbu wenzie wa Bariadi Maswa 😁😁cc Kitombile
 
Njombe mna ndoto za mchana aisee .
..Kwa akili zenu mama Samia atawajengea dual carriage...wait 2040
 
Miji yote ya nyanda za juu kusini na mikoa ya kusini ni ya ovyo sana.
Endeleeni kuota huku wenzenu wakizidi kuinua magorofa..

Go Mbeya Go πŸ‘‡
Kabwe-Mwanjelwa New CBD

Magorofani karibu na Mzumbe University πŸ‘‡
 
Jiji linajenga ghorofa moja kila mwaka sasa hili ni jiji au DC
Kwa hiyo hiyo ni gorofa Moja? Huu ni wivu 😁😁

Hizo ziko barabara kuu nilipiga Kwa fasta fasta wakati Napita kwenye Bus,hujaenda Mjini Wala Mtaani.

Hapa ni CUCoM Mafiat ujenzi unaendelea πŸ‘‡
 
Achana na mabweni, leta commercial building angalau 3 zinazojengwa
Hivi hapo Juu nime post buildings ngapi?
Nimekwambia pale Kabwe Kuna Ujenzi unaendelea,
Mwanjelwa Kuna Ujenzi unaendelea
Kona ya Chuo Cha Mzumbe Magorofani Kuna Ujenzi unaendelea hapo sijaenda Mjini kati..

Mbalizi Kuna majengo 3 yanaendelea na ujenzi.

Mwisho gorofa nyingi zilizoanza ujenzi mwaka Jana zingine zinaendelea na ujenzi na nyingine finishing inaendelea..

My Take
Hizo nimejiona wiki hii nilikuwa safarini by the end of year bila shaka Kuna wengine wataamsha popo manaa na ujenzi wa njia 4 umeshaanza huko.
 
 
Daraja la TAIFA .hiv Mara ya mwisho raisi kuja mbeya alikuja kufanya niin

Oh kwenye maonyesho ya nane nane View attachment 2656462
Vijiji vya mkoa maskini Zaidi Tanzania kadri ya NBS
....


Muleba vijijini 70 km out of bukoba


Hawa watu wanajengaje hiz nyumba Kali vijijini wakati hawapati hata 1000 kwa siku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…