Ana wivu na kagera lakini ana chuki kubwa sana na Mwanza😂😂😂Ana wivu na watu wa mkoa wa Kagera.
Tangu lini amewahi kumuona mtu wa Bukoba ameenda Kigoma kutafuta kibarua cha kulima au kuchunga ng'ombe kama ndg zake waliojazana huku mashambani?
Bukoba port.....Kwa nini zipikwe Kwa Kagera tuu? [emoji1787][emoji1787]
Sasa kwetu Kuna nafuu kuliko Kagera,kule sio tuu kumepauka Bali kumepatwa na ufukara
Bukoba AirportKwa nini zipikwe Kwa Kagera tuu? [emoji1787][emoji1787]
Sasa kwetu Kuna nafuu kuliko Kagera,kule sio tuu kumepauka Bali kumepatwa na ufukara
Kabale Bukoba VijijiniKwa nini zipikwe Kwa Kagera tuu? [emoji1787][emoji1787]
Sasa kwetu Kuna nafuu kuliko Kagera,kule sio tuu kumepauka Bali kumepatwa na ufukara
Amepatwa na nini huyu mwamba ?[emoji3][emoji3][emoji3]Ana wivu na kagera lakini ana chuki kubwa sana na Mwanza[emoji23][emoji23][emoji23]
Hiv kwetu ni vya kawaida sana[emoji116]
Acha uongo [emoji23] labda kama DKY na DLS na DJP ndo mnaziona Luxury gari zilizopiga Dar Moro ndo zikahamishiwa Mbeya na Tunduma ila Abood hajawah peleka Luxury Mbeya [emoji23][emoji23]Kauli yangu ni Ile Ile,Kazi yenu ni kuja baada ya Mbeya..
Mwaka Jana mwezi disemba Abood alinza route ya VIP Mbeya huko Mwanza akiwapa.yale machakavu aliyoyatoa Mbeya..
Nitaleta kaka sema Kuna mishe zilini keep busy kidogo afu Ile ishu ya chuo kikuu Leo ndo imejadiliwa kuwa kijengwe njombe afu bandari makambako ko Kaz ya ujenzi soon inaanzaMk boy Napita hapa Makambako nimeona Mji umechanganya sana hasa Viwanda..
Ila unafeli wapi naona Kuna gorofa 2 Mpya hapa,hapa NMB Kuna Barabara ya mtaa ya lami Kwa mbele Kuna gorofa mbona hujatuletea picha?