Takwimu za nbs na BOTSomething fish is going on kwenye kuuita mkoa wa kagera una GDP ndogo...na hatimaye kuuita Maskini....
Hii kahawa yote zaidi nusu inatoka Kagera na bado haya mapato hayahesabiki kagera View attachment 2648030View attachment 2648036
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Nipo huku nyanda za juu kusini watu vijijini wanatumia usafiri wa punda [emoji23][emoji23][emoji23]Something fish is going on kwenye kuuita mkoa wa kagera una GDP ndogo...na hatimaye kuuita Maskini....
Hii kahawa yote zaidi nusu inatoka Kagera na bado haya mapato hayahesabiki kagera View attachment 2648030View attachment 2648036
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Kuna mambo yanashangaza sana kwa kweli.Something fish is going on kwenye kuuita mkoa wa kagera una GDP ndogo...na hatimaye kuuita Maskini....
Hii kahawa yote zaidi nusu inatoka Kagera na bado haya mapato hayahesabiki kagera View attachment 2648030View attachment 2648036
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Kati Ya mnyama adim kwa nyanda za juu kusin bas ni punda mzee na nyanda za juu kusin now maeneo mengi ni mkeka gari ni nyingi mno ko achen kutafuta tatizo liko wap wakati chalamila Alisha wambia shida yenu ni nn waachen nyanda za juu kusin wapige Kaz ndo maana Mikoa yao ipo kwenye 10 Bora za utajir Hali ya hewa inaruhusu ,miundombinu mizuri pia wenyewe wanapenda maendeleo sio kuishi kwa kujisifia wakati ndugu zako wanakufa njaaNipo huku nyanda za juu kusini watu vijijini wanatumia usafiri wa punda [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hiyo punda mnaofuga wote hawa wa nini?? Nikipata fursa ntawapiga picha. Kagera haitakaa ife njaa, leta ushahidi wa kuonesha Kagera wana njaaKati Ya mnyama adim kwa nyanda za juu kusin bas ni punda mzee na nyanda za juu kusin now maeneo mengi ni mkeka gari ni nyingi mno ko achen kutafuta tatizo liko wap wakati chalamila Alisha wambia shida yenu ni nn waachen nyanda za juu kusin wapige Kaz ndo maana Mikoa yao ipo kwenye 10 Bora za utajir Hali ya hewa inaruhusu ,miundombinu mizuri pia wenyewe wanapenda maendeleo sio kuishi kwa kujisifia wakati ndugu zako wanakufa njaa
Acha uongo wewe maskini wa Bukoba,lami zimeenea Kila Kona punda atoke wapi kwani sie ni Wasukuma?Nipo huku nyanda za juu kusini watu vijijini wanatumia usafiri wa punda [emoji23][emoji23][emoji23]
Njaa mbaya sana imepanda Hadi kichwani, na hapo ukute umekuja na kilori chako kutafuta chakula Vijijini 😁😁Kwa hiyo punda mnaofuga wote hawa wa nini?? Nikipata fursa ntawapiga picha. Kagera haitakaa ife njaa, leta ushahidi wa kuonesha Kagera wana njaa
Mkuu niko idodi huku iringa vijijini nasema nachokiona, vijiji vingi ndani huku iringa bado wanatumia punda.Acha uongo wewe maskini wa Bukoba,lami zimeenea Kila Kona punda atoke wapi kwani sie ni Wasukuma?
Njaa ndio imekupeleka huko au siyo? 😁😁😁Mkuu niko idodi huku iringa vijijini nasema nachokiona, vijiji vingi ndani huku iringa bado wanatumia punda.
Nimekuja kutembea mkuu [emoji1787][emoji1787]Tanzania ni yetu sote usikasirikeNjaa mbaya sana imepanda Hadi kichwani, na hapo ukute umekuja na kilori chako kutafuta chakula Vijijini [emoji16][emoji16]
Bukoba hatunaga njaa [emoji23][emoji23][emoji23]iwe jua iwe mvuaNjaa ndio imekupeleka huko au siyo? [emoji16][emoji16][emoji16]
Niwapongeze kidogo mmewazidi jirani zenu Dodoma kupunguza nyumba za tembe, ila bado sana mje mjifunze bukobaNjaa ndio imekupeleka huko au siyo? [emoji16][emoji16][emoji16]
Kagera inaongoza Kwa umaskini usisahau HiloNiwapongeze kidogo mmewazidi jirani zenu Dodoma kupunguza nyumba za tembe, ila bado sana mje mjifunze bukoba
[emoji1787][emoji1787]Tuache data za kupikwa za per capita kwanza mbona vijiji vyenu hivi vya ujamaa vimepauka sana??Kagera inaongoza Kwa umaskini usisahau Hilo
[emoji1787][emoji1787]Tuache data za kupikwa za per capita kwanza mbona vijiji vyenu hivi vya ujamaa vimepauka sana??
Kwa nini zipikwe Kwa Kagera tuu? 🤣🤣[emoji1787][emoji1787]Tuache data za kupikwa za per capita kwanza mbona vijiji vyenu hivi vya ujamaa vimepauka sana??
Ndo nipo huku natembelea vijiji vyenu nafanya utafiti wa kuona kwa macho sio wa ofisini naona watu wanaishi nyumba moja na punda wamepaushwa na jua na baridi kaliKama ni maskini ni maskini tu Haina haja ya kutafuta huruma za watu utafiti umeshaonyesha hivyo na ww nenda kafanye utafiti wako uwaaminishe watanzania kua Kagera sio masikin ila Kwa Sasa tunacho jua mkoa masikin case study ni Kagera full stop
VIP nyingine [emoji91]Kwa nini zipikwe Kwa Kagera tuu? [emoji1787][emoji1787]
Sasa kwetu Kuna nafuu kuliko Kagera,kule sio tuu kumepauka Bali kumepatwa na ufukara
Kauli yangu ni Ile Ile,Kazi yenu ni kuja baada ya Mbeya..VIP nyingine [emoji91]View attachment 2649076