Kahama VS Njombe/Mafinga

Uwe unaelewa ,nilisema wazi kwamba kama sio siasa na walisema wafuate potential ya biashara ingeanzia Mbeya ila kama ni siasa itaenda Dom,nao wamesema hapo Kwa sababu maalumu itaenda Dom
Hujamwona mchumi hapo kasema.. majiji mengine ni hasara Kwa sababu Kuna wachuuzi na mama ntilie kuliko dodoma na dar zenye wafanyakazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujamwona mchumi hapo kasema.. majiji mengine ni hasara Kwa sababu Kuna wachuuzi na mama ntilie kuliko dodoma na dar zenye wafanyakazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mchumi Koko aliyezaliwa na kukulia Dar anajua nini Cha Mikoani? Alivyo fala,Mbeya Ina suburb ngapi kwenye njia pendekezwa ya BRT? Aliwahi fanya hata survey? Sasa wapi wanafanya sana movements, wachuuzi au Watumishi? Hawa wajinga unakuta ni mshauri wa uchumi Serikalini 🤣🤣
 
Ndio hao waliojazana kwenye mataasisi ya serikali....
Kwanza Mimi BRT isn't my cup of tea ..
mwanza wajenge dual carriage ways na waweke mfumo wa tram .....hizo BRT mbaki nazo ninyi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pongezi kwa serikali kwa kuliona hili lazima tuwe na majiji ya biashara na uwekezaji sio vigezo tu vya mara ya kwanza et lazima muwe makao makuu ya mkoa hii haikuwa sawa Kuna maeneo ya kimkakati tayar yalisha anzisha uwekezaji wa aina HiYo naona kwala wameanza inatakiwa wafanye miundo mbinu HiYo kwote kwenye miji ya kimkakati ambako tayar wametangaza kujenga bandari kavu mfano Kuna tunduma ,makambako na ISAKA kahama
 
Mkoa wa njombe now wameshamaliza miji mikubwa na surbtown zote ufungaji wa taa za barabarani na hapa ni ikonda

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…