Wataleta tu miradi Yao 2024/2025 kubembeleza kura milioni 2 za mkoa wa mwanza....it's a matter of timeWewe nae utupumxishe , Fair ipi unaitaka? Ndio shida ya kuzoea vya dezo,hii nayo iliwatesa watu wa Arusha awamu ya Mwendazake Kwa sababu mlizoea kudhulumu View attachment 2632820
Mmoja wapo ni mwanyika wa njombe..... ..huyo aanze kukusanya tu pesa za mfuko wa Jimbo .....Wataenda wapi? Ndio mnavyojidanganya na hao Vijana mashabiki wenu kwenye mikutano wanaokuja kwenye burudani na kuwashangaa?
Yaani mtu uache kumchagua Tulia uje kumchagua Sugu una akili au taahira?
Hii wizara ni hovyo tu...Yaani jamaa anazungumzia barabara za kusini tu hovyo kabsa
Endelea kuteseka 😃😁🤣
Wewe chadomo ni mjinga wa mwisho,nakuhakikishia Sugu hatokaa apite tena hapo Mbeya ,shika haya maneno tukutane 2025 tukiwa wazima..Mmoja wapo ni mwanyika wa njombe..... ..huyo aanze kukusanya tu pesa za mfuko wa Jimbo .....
Wew Kwa akili yako tulia ni WA kumshinda sugu ..au jesica amshinde msigwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wataleta tu miradi Yao 2024/2025 kubembeleza kura milioni 2 za mkoa wa mwanza....it's a matter of time
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwache mbunge wangu