Wapumbavu ..watamwondoa Samia madarakani ... kwanZa mama simpi kura yangu ..Kwa mawaziri wa hovyo hivi ...Pemba .
Walau sisi Mbeya tuna Manaibu Waziri wanajaribu kuvutia kwao Kwa lazimaView attachment 2631713View attachment 2631714
Bora yenu mnakula mema ya nchi kipindi hiki lakini yote ni Tanzania me nafurahi, lakini nachukia kila kitu kujengwa dar na dodoma.
Bora yenu mnakula mema ya nchi kipindi hiki lakini yote ni Tanzania me nafurahi, lakini nachukia kila kitu kujengwa dar na dodoma.
Acheni roho mbaya,Kahama na Nzega na huko Kwa Mwendazake Barabara zinajengwaWapumbavu ..watamwondoa Samia madarakani ... kwanZa mama simpi kura yangu ..Kwa mawaziri wa hovyo hivi ...
Bajeti Moja tu nimeipenda bajeti ya aweso ..Hawa wengine hovyo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii nchi ngumu sana😂😂😂😂Labda kama wamebadilisha matumizi au kupunguza kazi
Mnazitumia wenyewe hata hivyo,pesa za Halmashauri zinatumika na Halmashauri husika
Hii nchi kama hakuna waziri au naibu waziri au Rais anayetokea mkoa wako, basi hakuna rangi ambayo hutoacha kuiona, huu ni wakati wa mbeya kukenua.Pemba .
Walau sisi Mbeya tuna Manaibu Waziri wanajaribu kuvutia kwao Kwa lazima 😁😁View attachment 2631713View attachment 2631714
Halmashauri Kwa miaka yote ni hivyo hivyo hazijawahi pelekwa Serikali kuuKwani siku hizi hazipelekwi kwenye hilo domo la mamba alafu ndio zinasambazwa tena kulingana na mahitaji.
Mh Aweso ni waziri muungwana sana na hana roho ya husda na chuki kama wengine, kwa bajeti hii hakika kunaitaji huruma ya Mungu tu.Wapumbavu ..watamwondoa Samia madarakani ... kwanZa mama simpi kura yangu ..Kwa mawaziri wa hovyo hivi ...
Bajeti Moja tu nimeipenda bajeti ya aweso ..Hawa wengine hovyo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni husda nyie, Hungumalwa to Ngudu mtaenda kuwekewa lamiA
Mh Aweso ni waziri muungwana sana na hana roho ya husda na chuki kama wengine, kwa bajeti hii hakika kunaitaji huruma ya Mungu tu.
Hizo bilion 1.5 zinajenga km 10 Kwa akili yako?Acheni husda nyie, Hungumalwa to Ngudu mtaenda kuwekewa lami View attachment 2631742
Acha upumbavu hiyo nzega na Tabora zina uhusiano gani na Mwanza? Assume mbeya ingekosa lami hata 1 km ungeongea haya mashudu yako.Acheni roho mbaya,Kahama na Nzega na huko Kwa Mwendazake Barabara zinajengwa View attachment 2631724View attachment 2631741
Unajua kusoma? Hakuna sehemu walipoweka pesa nyingi zaidi ukiacha Dodoma,kote hi hizo hizo ndogo ndogo si unajua uchaguzi umekaribia lazima Kila sehemu waonekane Kuna mradi.
Piga kazi Bashe ,nyie huko mtajijua 🤣🤣A
Acha upumbavu hiyo nzega na Tabora zina uhusiano gani na Mwanza? Assume mbeya ingekosa lami hata 1 km ungeongea haya mashudu yako.
Nyie mngepewa 1.5bilion zikajenge kilometa 20 mngejifikiriaje? Hivi hii serikali inatuonaje asee.Acheni husda nyie, Hungumalwa to Ngudu mtaenda kuwekewa lami View attachment 2631742
Unajua kusoma? Hakuna sehemu walipoweka pesa nyingi zaidi ukiacha Dodoma,kote hi hizo hizo ndogo ndogo si unajua uchaguzi umekaribia lazima Kila sehemu waonekane Kuna mradi.
Piga kazi Bashe ,nyie huko mtajijua 🤣🤣
Toka Lin bilioni 1 ikajenga lami km 10 ...au morum ...tubara bara twakudonoa donoa twanni.Unajua kusoma? Hakuna sehemu walipoweka pesa nyingi zaidi ukiacha Dodoma,kote hi hizo hizo ndogo ndogo si unajua uchaguzi umekaribia lazima Kila sehemu waonekane Kuna mradi.
Ni bil.2 zinajenga km 1.5 Kwa kuanzia..Nyie mngepewa 1.5bilion zikajenge kilometa 20 mngejifikiriaje? Hivi hii serikali inatuonaje asee.
Kwa kuanzia wanaanza hivyo hivyo ila kuja Kukamilika ni karibu Yesu atakapokuja 😁😁Toka Lin bilioni 1 ikajenga lami km 10 ...au morum ...tubara bara twakudonoa donoa twanni.
Mradi mmoja tu nimeupenda EPC+F
hizo ni barabara za muhimu kiuchumi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbarawa hamna kitu yule bas tu ..Ni bil.2 zinajenga km 1.5 Kwa kuanzia..
Ona hapa Kuna bil.15 ila ni za kulipia Madeni ya Barabara za Toka awamu ya JK na danganya toto Kwa lugha za sijui kuanza Ujenzi,huu ni uongo,angalia idadi ya Barabara zinazoenda kulipa Madeni View attachment 2631746View attachment 2631747