Taasisi mbalimbali Zinazidi kutia timu mkoa wa njombe ili kuwezesha transport and logistic centre Inaanza makambako maana tayar makampuni makubwa yameshaanza uwekezaji
Na mwandishi wetu _Njombe
Wasafirishaji wa mazao ya mbogamboga yakiwemo matunda ya Parachichi mkoani Njombe wameiomba serikali kuboresha miundombinu ya usafirishaji wa bidhaa hizo ili kuweza kusafirisha zikiwa na ubora na kwa wakati.
Hayo yameelezwa katika mkutano wa uhamasishaji wa usafirishaji wa mazao lmbogamboga na matunda kwa njia ya meli na viwanja vya ndege vya ndani ya nchi ulioandaliwa na Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania TASAC,Taasisi ya Kikanda ya Uchukuzi ya ISCOS pamoja na Baraza la Wasafirishaji Tanzania TSC.
Akizungumza katika mkutano huo mmoja wa wasafirishaji Zekomo Masanje aliomba kuwepo kwa majokofu ya kuhifadhi baridi,bandari kavu na kuomba pia kuondolewa kwa vikwazo vya usafiri barabarani ili magari yasafiri kwa haraka.
“Changamoto kubwa ni contena za friji ambazo kwa sasa zinapatikana Nairobi kwa hiyo unakuta kuna gharama kubwa na pia hizo contena tunatumia bandari ya Mombasa ambapo unakuta kuna gharama kubwa katika usafirishaji unakuta ukikodi contena kutoka Nairobi ije Njombe,itoke Njombe iende Mombasa.Tunashauri kama kuna uwezekano serikali yetu ya ndani kwamba tuweze kuweka utaratibu mzuri kwenye bandari yetu ya Dar es salaam”alisema Masanje.
Katibu mtendaji wa baraza la usafirishaji shehena Tanzania, Sallu Jonhsons alisema changamoto kubwa inayowakabili wasafirishaji shehena ni ucheleweshaji wa usafiri wa mizigo kutoka mashambani kuelekea bandari.
“Kama bandari ya Dar es salaam,uwanja wa ndege wa Dar es salaam,uwanja wa KIA tunapata matatizo kwa sababu ya changamoto ambazo wanakutana nazo,kuna mizani kuna watu wa usalama lakini tunatizama na nafikiri ikiwezekana gari inavyotoka Njombe itapimwa uzito itakidhi taratibu zote za barabara akiwa amepata vile na kontena limepakia mzigo na afisa wa forodha amethibitisha kwamba mzigo umeingia ndani ni boksi kadhaa kadhaa akafunga siri yake na gari ikaenda ikapimwa uzito watu wa tanroad mizani wakatoa cirtificate hakuna sababu gari kuendelea kusimamishwa hadi kufika Dar es salaam ikiwa imebeba bidhaa hizi hatarishi kwa kuogopa ubora wake kuharibika”alisema Johnson.
Awali mkuu wa wilaya ya Njombe Kissa Kasongwa kwa niaba ya mkuu wa mkoa wa Njonbe Antony Mtaka aliomba kuwekewa majokofu katika bandari kavu inayotarajiwa kuanzishwa halmashauri ya Mji Makambako.
“Tunampango wa kuanzisha bandari kavu Makambako ili kuhakikisha kwamba uchumi huu ambao mnauona unakuwa wa Njombe basi tunakuwa tunasehemu ambayo watu wanakuwa wanatoka nchi za jirani ambazo zimepakana na nyanda za juu kusini wafike waweke bidhaa zao zote center kubwa iwe Makambako”alisema Kasongwa.
Kwa upande wake Mkurugenzi wa Udhibiti wa Huduma za Usafiri kwa njia ya Maji
TASAC Deogratius Mukasa, alisema lengo la mkutano huo ni kupokea changamoto ili zikafanyiwe kazi ili kuhakikisha huduma za usafirishaji zinawafikia.
“Lengo ni kuwawezesha wasafirishaji wa ukanda huu wa nyanda za juu kusini wanaotumia huduma za bandari kusafirisha bidhaa nje ya nchi kipata uelewa juu ya namna bora ya kutekeleza majukumu yao usafirishaji kwa namna wanavyoweza kulinda maslahi yao katika kutumia huduma za usafirishaji”alisema Mukasa.
Muwakilishi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Nchini TPA Robert Soko alisema maboresho makubwa yamefanyika ili kuvutia
wasafirishaji wa mali mbichi nchini kutumia usafiri wa meli.
Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Uchukuzi ISCOS Aderick Kagenzi alisema Teknolojia inatumika ili kukabiliana na changamoto za usafirishaji.

Kabisa watu wanachangamoto za kutosha zikitatuliwa ni faida kwa nchi mkuu wa mkoa wa njombe anajitaidi Sana anaalika Sana makampuni mashiri nakadharika na haya ya na chochea ukuaji wa kiuchumi mkoa wa njombe Kaibua fursa nyingi sana
Mwanza tunaendelea kula kwa macho na tunaendelea kula za uso kwenye bajeti ujenzi na uchukuzi mara ya pili mfululizo hakuna kilometa hata moja ya lami kutoka kwa hawa tanroad, asee hii nchi ngumu sana.
Ni kweli...mji mkubwa kwa kagera ni Bukoba tu nao hauna watu laki mbili japo population density ni kubwa...
....kwa nini mtu aende kujazana mijini kwenye slums kama mbeya wakati anaweza akajenga kijijini kwake na kila siku akaenda mjini kwa daladala?
Bukoba kila kijiji kinafikiwa na daladala hadi usiku na nauli sio kubwa hakuna ambapo inazidi 3000...kwa nini mtu ujitese kujenga kijijumba mjini...ndo maana ujenzi wa barabara za lami vijijini uko kasi maana hata hao viongozi wanaishi vijijini...
Na huu utamaduni ndo unaifanya Bukoba iwe vile ndogo...watu karibu million 3 wa kagera wangejirundika kwenye mji mmoja si ingekuwa chaos tupu...
Kimsimgi Tanzania inabidi iwe hiv...watu wabaki vijijini kwao...huduma ziwafate huko Huko

Jiji la pili kama mwanza hata mkoa tu wa Mwanza hakuna barabara hata kilometa moja ya lami kutoka wizara ua ujenzi na uchukuzi, alafu atokee kiongoz from nowhere aje kuleta unafiki wake asee....
Wameongeza flyover kama tano mwaka huu kwenye bajeti na dodoma kilometa 200+ njia zote nne zilamba 50km za dual carriage, barabara ya singida, ya dar, ya iringa , ya karatu mpka arusha.
Ni kweli...mji mkubwa kwa kagera ni Bukoba tu nao hauna watu laki mbili japo population density ni kubwa...
....kwa nini mtu aende kujazana mijini kwenye slums kama mbeya wakati anaweza akajenga kijijini kwake na kila siku akaenda mjini kwa daladala?
Bukoba kila kijiji kinafikiwa na daladala hadi usiku na nauli sio kubwa hakuna ambapo inazidi 3000...kwa nini mtu ujitese kujenga kijijumba mjini...ndo maana ujenzi wa barabara za lami vijijini uko kasi maana hata hao viongozi wanaishi vijijini...
Na huu utamaduni ndo unaifanya Bukoba iwe vile ndogo...watu karibu million 3 wa kagera wangejirundika kwenye mji mmoja si ingekuwa chaos tupu...
Kimsimgi Tanzania inabidi iwe hiv...watu wabaki vijijini kwao...huduma ziwafate huko Huko
Watu watabaki kijijini kivipi wakati huko mjini Dar kila siku wanatengenezewa miundo mbinu bora, huduma bora za kijamii, fursa za kiuchumi na maviwanda yanarundikwa huko kwanini tusiende tukabanane huko Dar..... Hii nchi inaviongozi wa ovyo sijapata kuona hasa hawamu hii.
Ni kweli...mji mkubwa kwa kagera ni Bukoba tu nao hauna watu laki mbili japo population density ni kubwa...
....kwa nini mtu aende kujazana mijini kwenye slums kama mbeya wakati anaweza akajenga kijijini kwake na kila siku akaenda mjini kwa daladala?
Bukoba kila kijiji kinafikiwa na daladala hadi usiku na nauli sio kubwa hakuna ambapo inazidi 3000...kwa nini mtu ujitese kujenga kijijumba mjini...ndo maana ujenzi wa barabara za lami vijijini uko kasi maana hata hao viongozi wanaishi vijijini...
Na huu utamaduni ndo unaifanya Bukoba iwe vile ndogo...watu karibu million 3 wa kagera wangejirundika kwenye mji mmoja si ingekuwa chaos tupu...
Kimsimgi Tanzania inabidi iwe hiv...watu wabaki vijijini kwao...huduma ziwafate huko Huko
Jiji la pili kama mwanza hata mkoa tu wa Mwanza hakuna barabara hata kilometa moja ya lami kutoka wizara ua ujenzi na uchukuzi, alafu atokee kiongoz from nowhere aje kuleta unafiki wake asee....
Watu watabaki kijijini kivipi wakati huko mjini Dar kila siku wanatengenezewa miundo mbinu bora, huduma bora za kijamii, fursa za kiuchumi na maviwanda yanarundikwa huko kwanini tusiende tukabanane huko Dar..... Hii nchi inaviongozi wa ovyo sijapata kuona hasa hawamu hii.
Mimi mwenyew sipendi kurundika resources Dar pekee...nchi ina watu 60million...lakin zaidi ya nusu ya bajeti ya ujenzi ni dar pekee yenye watu 5million...
Ndo maana narudi kwenye hoja ya majimbo...au manispaa ziachwe zijiendeshe zenyew...
Ni uonevu kuchukua mapato kutoka mikoa yote na kuchukua nusu yake kufanya uwekezaji dar tu...
Imagine stendi ya bukoba ambayo ni kero ya muda mrefu kila mwaka wako wanasubiri mradi sijui tactic...mpaka imefikia hatu wanatumia billion 1 kujenga stendi ya muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.