Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Huwezi amini eti huu ndio Mji wenye wakazi zaidi ya Laki 4,Mafinga ni pazuri 😁😁
Geita
 
Utajiri wa Geita
Screenshot_20230519-111612.jpg
 
Inaanza Mbeya


Harafu wengine ndio mnakuwa wa mwisho mwisho huko 🤪🤪
 
Hii haiwez husisha dar na mwz maana ni majiji makubwa na Yako smart but Ina deal mi majiji madogo kama Arusha,dodoma tena Kwa mbeya wangeongeza bajeti mbeya Ina Hali mbaya sana,, sewage system, at magar ya taka hayapit kuchukua taka zinanuka,,mpangilio hovyo usipokuw makin unakosa pakutokea ,Barabara ya kwenda stand ni nyembamba balaa magar mawili hayapishani pia njia imejaa mashimo,, hapa Kwa mama John ni pabaya sjui upanuz wa Barabara watafanyaje yaaan 😭
 
Back
Top Bottom