Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Safari ya kwenda wapi? Kwani hata isipokuwa na CBD Kuna tatizo?
Kuna tatizo sana ...jiji disorganized na poor planned kama mbeya ni aibu Kwa nchi yetu
images (5).jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii picha ni ya zamani, hili jengo jeupe wamelibomoa kuta zote limebakiza nguzo wanalirudia upya hata urefu wameongeza View attachment 2623856
Kha!! Kwa nini mkuu...lilikuwa chini ya viwango? Au wanataka liwe refu zaidi?

Sijaenda Bukoba muda mrefu...

Kama uko Bukoba naomba utupigie picha ujenzi wa bakwata complex, kitwe plaza, nk
BK%202020.jpg
 
Hii picha ni ya zamani, hili jengo jeupe wamelibomoa kuta zote limebakiza nguzo wanalirudia upya hata urefu wameongeza View attachment 2623856
Hata mimi nimeliona kwa picha za drone za juzi juzi miezi michache iliopita...nikajiuliza maswali nisiyo na majibu...mbona ili jengo lilikuwa lina hadi paa lakin sasa liko hiv?

Itakuwa ameone liwe refu zaidi
Screenshot_20230516-130634.jpg
 
Kha!! Kwa nini mkuu...lilikuwa chini ya viwango? Au wanataka liwe refu zaidi?

Sijaenda Bukoba muda mrefu...

Kama uko Bukoba naomba utupigie picha ujenzi wa bakwata complex, kitwe plaza, nkView attachment 2623890
Wamebadilisha muonekano, picha ya design yake inaonekana kuwa Bara zaidi. Bakwata bado wapo msingi maana jengo ni kubwa mno
 
Back
Top Bottom