Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Upanuzi mkubwa wa Chuo Kikuu Cha MUST
Mabweni 2 yenye ghorofa 7 Kila Moja.
Academic block
Karakana nk
Screenshot_20230516-205351.jpg
 
DIT -Myunga Campus Songwe Region
Ukiwa unatoka Tunduma Kwenda Sumbawanga km 40 hivi ndio Chuo kilipo
Screenshot_20230516-204939_1.jpg
 
Ya mwanza huwa huyaoni, hakuna kitu kitawekwa mbeya na Mwanza kisiwepo.
Mbeya Ina vyuo Vikuu vingi kushinda Mwanza..

Juzi tuu hapo nimekuonesha ujenzi wa gorofa 7 Mzumbe unajifanya huoni,Mwanza Kuna Mzumbe?

Magorofa ya Mbeya yalishaanza kujengwa Toka mwaka Jana na yanamaliziwa tuu

Mwisho Kuna mradi wa HEET unajenga majengo mengine zaidi hapo MUST ,Mwanza hakuna
 
DIT kampasi ya mwanza wanajenga majengo matano ya ghorofa nane, mzumbe wana kampasi hapa Mwanza downtown lakini pia wana eneo kubwa huko sangabuye, Mbeya ina vyuo vingi vya serikali kuliko Mwanza nakubali, lakini Mwanza pia ina vyuo vingi sana vya binafsi kuliko Mbeya....

Mwanza kwasasa wanajenga, DIT, ARDHI, TIA, MIPANGO N.K, zamani walikuwa kwenye vijengo vya kupanga.

TIA wanajenga nyashishi na wapo site Kaz inaendelea
DIT kampasi ya mwanza wanajenga majengo matano ya ghorofa nane, mzumbe wana kampasi hapa Mwanza downtown lakini pia wana eneo kubwa huko sangabuye, Mbeya ina vyuo vingi vya serikali kuliko Mwanza nakubali, lakini Mwanza pia ina vyuo vingi sana vya binafsi kuliko Mbeya....

Mwanza kwasasa wanajenga, DIT, ARDHI, TIA, MIPANGO N.K, zamani walikuwa kwenye vijengo vya kupanga.
 
BUGANDO nao wazid kuextend maana now wako na eneo na wameshashajenga godown Kwa ajili ya ujenzi wa chuo KIKUU mtaa wa IBANDA
IMG_20230312_173730_092.jpg
 
IFM, now wanatoka rock city mall wanaenda kupanga bwiru pale chuo Cha mipango kilipokuwa kimepanga,,wanafanya hivo huku wakisubili ujenzi wa chuo Chao kukamilka
 
Haya mambo ya makaratasi huwa siyaamini kabisa, napenda kuonga magreda yakichonga hayo ma BRT, hizo ngonjera zao wawapelekee wana mbeya, arusha na Tanga, sisi Mwanza tunapenda vitendo sio watu wakusikiliza siasa.
Kabla ya greda yanaanza makaratasi,hii sio mara ya kwanza watu wa dart wanaongea hivyo,wanasubiria mabadiliko ya Sheria.
 
Back
Top Bottom