Kahama VS Njombe/Mafinga

Design ya majengo ya kikomunisti
Billion 18? Labda kuna majengo mengine...

Ngoja niexplore zaidi...maana sijaona hostel na madarasa...



Lakin location ya chuo ni nzr sana kuanzia hali ya hewa, mazingira na sio mbali na Bukoba mjini...
I see Bukoba ikipanuka zaidi kufikia huko
 
BUKOBA hiyo mitaa ya westlake, Miembeni na kaitaba Kwa mbali...


Ukweli usemwe Bukoba is so cool and beautiful and has beautiful neighbourhoods

Anyway sijui kwa nini watu wa Bukoba wanapenda Mapaa mekundu
...au ni mipango miji....


Wap mbeya
 
Mwanza waje kujifunza Bukoba kugawa uswahili na ushuani
 
Westlake Bukoba hotel Bukoba....

New hotel in Bukoba found in the beautiful neighbourhoods of miembeni....



Utawaskia haters wanaiponda Bukoba kisa tu haina stendi ya mabasi....as watu wanaishi kwenye stendi za mabasi
 

Attachments

  • Screenshot_20230514-113447.jpg
    59.9 KB · Views: 7
  • Screenshot_20230514-113731.jpg
    72.1 KB · Views: 7
Oh Bukoba hakuna stendi ya mabasi...oh watu wake maskini...nk...as watu wanaishi stendi ya mabasi



Makazi yao sasa...

NB. Report ya miaka nyuma kuhusu wilaya tajiri na maskini unaitaja Bukoba kama wilaya yenye watu wachache wenye umaskini wa kipato
 
Meli.imejaa maparachichi na ndizi...hongereni sana watu wa Bukoba kwa kufanya kazi...
 
 
Pakeni kwanza hizo nyumba rangi ndo tuongee vzr....mji hauna miti...nyumba zimechoka...yaan mnajisifia soko zuri na stendi nzr lakin mnalala kwenye nyumba zenye kutu!!...
Bora Bukoba watu wanakaa kwenye makazi bora...hizo stendi sijui soko wakiamua watajenga


Baadae tazama takwimu hapo chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…