Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Mipambo ya serikali ni Mingi [emoji16][emoji16][emoji16]
Na Bado
Hapa bado
gold ( Mara , mwanza, shinyanga,geita ,simiyu na kagera)
Almasi (mwanza na shinyanga)
Rare earth (shinyanga).
nickel (kagera na simiyu ).
Hii Kanda ndo inaipa uhai nchi [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Screenshot_20230429-202022.jpg
 
Hapa bado
gold ( Mara , mwanza, shinyanga,geita ,simiyu na kagera)
Almasi (mwanza na shinyanga)
Rare earth (shinyanga).
nickel (kagera na simiyu ).
Hii Kanda ndo inaipa uhai nchi [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2615940
Gold ipi unayozungumzia? Ya mzungu au? Gold hii hapa 👇
Screenshot_20230427-184904_1.jpg
 
Hii hii Mbeya au Kuna Mbeya Nyingine [emoji23][emoji23] yaan Mbeya sa hv inaizidi Mwanza?

Sasa mbeya ukitoa Kabwe na Mwanjelwa inabaki nn [emoji23]
 
Mgodi wa mzungu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Madini ya yangekuwa yanawasaidia saizi mungekuwa Juu ya Arusha na Dodoma Sasa unashindana na Mbeya [emoji16][emoji16]
🥸🥸🥸[emoji28][emoji28][emoji79][emoji79][emoji79][emoji79][emoji79][emoji79][emoji79][emoji79][emoji79][emoji79][emoji79][emoji79][emoji79][emoji79][emoji79][emoji79]
Hiv unajisikia kweli wew au unahisi kunya kunya ..ndio maana unaongea pumba
 
Siku Mwanza mkipata hostel ya gorofa 8 kwenye Chuo chenu chochote mnitag 😀😀
 
Siku Mwanza mkipata hostel ya gorofa 8 kwenye Chuo chenu chochote mnitag [emoji3][emoji3]
Ulimbukeni bwana ..[emoji1787][emoji1787][emoji1787].hizo hostel zinawasaidia nini...by the way mwanza Huwa hailingiii pety things like that....

Mbeya na mwanza ni mbingu na ardhi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787].. Sauli kasepa . biashara ngumu
Screenshot_20230510-105007.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]..... wapi mbeya. .

Uko desperate sana aisee kwamba hujui faida tutakayopata? 😁😁

Zitasaidia kuongeza udahili wa wanachuo hivyo kuzidi kuleta pesa Mbeya.

Zitaongeza idadi ya majengo marefu Mbeya hivyo kupamba Jiji

Zitaongeza mzunguko wa pesa Jijini zaidi ya bil.7 zitaingia Mbeya,

Zitakuza GDP na mwisho Zitazidi kujifanya Mbeya kuwa kivutio Cha Elimu Kwa wanafunzi..

Si ajabu wivu unafanya mpaka unalinganisha hako kabasi ka mil.600 na mradi wa bil.7 😁😁
 
Uko desperate sana aisee kwamba hujui faida tutakayopata? [emoji16][emoji16]

Zitasaidia kuongeza udahili wa wanachuo hivyo kuzidi kuleta pesa Mbeya.

Zitaongeza idadi ya majengo marefu Mbeya hivyo kupamba Jiji

Zitaongeza mzunguko wa pesa Jijini zaidi ya bil.7 zitaingia Mbeya,

Zitakuza GDP na mwisho Zitazidi kujifanya Mbeya kuwa kivutio Cha Elimu Kwa wanafunzi..

Si ajabu wivu unafanya mpaka unalinganisha hako kabasi ka mil.600 na mradi wa bil.7 [emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom