ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,102
- 84,992
- Thread starter
- #15,981
Any picha/video from Kahama to match with Njombe please
Hakuna Wilaya hata Moja kutoka Mikoa Maskini ya Lake Zone inaweza fikia Tunduru Kwa pesa..
Hapa hakuna GDP ya mzungu Bali ni pesa directly Kwa watu
Jiji vs Wilaya![]()
Mambo ni 🔥🔥🔥
Kila siku unarudia kupost vitu vile vile


...naona mmejengewa administration block...
Wanaorudia rudia ni Wizara ya Ujenzi,Kwa hiyo peleka malalamiko Yako huko 😜😜Kila siku unarudia kupost vitu vile vile...naona mmejengewa administration block...
Huwezi kukuta uchafu kama huu kwenye majiji makubwa ya kisasaView attachment 2614273View attachment 2614274
Mtupishe sasa na magwangala yenu