ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,173
- 88,127
- Thread starter
- #16,001
Tuwasa ya Tabora ni nzuri kuliko Maji house ya Mwanza.Hv nyie CBD yenu ...Lini itafikia hapà[emoji116] View attachment 2614422
Tuwasa ya Tabora ni nzuri kuliko Maji house ya Mwanza.Hv nyie CBD yenu ...Lini itafikia hapà[emoji116] View attachment 2614422
Picha Iko wapiTuwasa ya Tabora ni nzuri kuliko Maji house ya Mwanza.
Maji house ya mbeya ipo wapiTuwasa ya Tabora ni nzuri kuliko Maji house ya Mwanza.
Picha Iko wapi
Maji house ya mbeya ipo wapi
Maji house ya mwanza ni nzuri mno nazan hazina tofaut na ya dar japo ya dar siijuiHv nyie CBD yenu ...Lini itafikia hapà[emoji116] View attachment 2614422
😂😂 Unalinganisha na Geita au bukobagreen cityView attachment 2614391
Kwa hiyo hii ndiyo TUWASA unasema ina jengo zuri kuliko Maji House ya Mwanza?
SI walisema Mbeya ni mji nafuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Only in Mbeya [emoji91][emoji91]
View attachment 2615895View attachment 2615896View attachment 2615897
SI walisema Mbeya ni mji nafuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji116][emoji116][emoji116]
Hilo balaa lake unalijua mwenyew [emoji116]Wanaotaja Mwanza ni vile hawajitambui na Wala hawajawahi fika wakaona balaa lake
Mipango ya serikali ni mingi ..lakin mabao ya mikono kama hayo hatuna shida nayo ...hili ni jiji la biashara sio la wakulima kama nyie so mnadeserve [emoji116]Mwanza mtazidi kupigwa bao na Mbeya..
Maonesho ya 8/8 kuwa ya Kimataifa na Viwanja vya J.Mwakangale-Mbeya na Nzuguni-Dodoma ndio vimechaguliwa na Serikali View attachment 2615920
Mipambo ya serikali ni Mingi 😁😁😁Mipango ya serikali ni mingi ..lakin mabao ya mikono kama hayo hatuna shida nayo ...hili ni jiji la biashara sio la wakulima kama nyie so mnadeserve [emoji116]
Asilimia 75 [emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2615930