Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Ukiwa hapo usagara Kuna Ile Barabara ya usagara-Kisesa bypass hivi inatumika na daladala zipo? Kwamba naweza kutoka usagara nikaenda Kisesa then nirudi mjini bila usumbufu?

Pili hiyo Barabara kubwa kutoka hapo usagara kwenda Kigongo -Busisi Kuna daladala au? Maana those days ilikuwa Bado maporini makazi yalikuwa ya kutafutiza..
Harafu Ukiwa Nanenene kule maana Kwa kipindi hicho ndio makazi Mapya yalikuwa yanaanza,naweza kupanda daladala Hadi njia ya Airport bila Kupitia city centre?

Hivi hizo stand zenu ukiacha nyegezi Kwa nyuma hapa daladala zilikuwa zinaishia na kulikuwa na Soko ambalo sio rasmi panaitwaje nimepasahau na Kwa Sasa ndio Kuna stand Mpya nyingine?

Mwisho Ndugu yangu anaishi Usagra na mwingine kule SAUT iliko nimeshau jina something like Malimbe..
ukiwa usagara kwenda kisesa kupitia bypass hakuna daladala ila kuna bajaji, na ukiwa kisesa mpaka kufika airport road bila kupita city center panda hiace zimendikwa kisesa to airport via nyasaka na ukiwa usagara kwenda JPM bridge usafiri upo wa kumwaga tu

na kuhusu hapo kwenye soko ambalo sio rasmi ambapo hiace zilikuwa zinaishia hope itakuwa igoma/kishiri au machinjioni/kakebe maana sijakupata vizuri unazungumzia ni maeneo yapi ila kwa kua una miaka nane haupo mjini nahisi unazungumzia hayo maeneo maana kwa kipindi hicho ndio hiace nyingi zilikuwa zinaishia na kuhusu stand haikujengwa palepale maeneo ya buzuruga bali ilihamia ahead almost 8km from buzuruga karibu kidogo na hapo unapopasema palikuwa porini (nane nane) ila kwa sahivi ni pa moto sana watu wanashusha kila siku maproject ya maana

na kuhusu pa kufikia nimeona unajiongelesha kuhusu malaika,malaika kulala kwa bei ya kuanzia ni 220 dollars so kwa ungaunga kama wewe hizo sehemu hazikuhusu labda tu uende kwa nia ya kunywa na kula ila sio kulala pengine hata kula unaweza usitoboe maana viepe lundo ulivyokuwa umezoea kuwekewa kwa 2k kwenye sinia zima kwenu uyole pale utanunua kwa 15k maji ya buku kwa 3k nakushauri tafuta maeneo ambayo utajihisi upo nyumbani kama vile igoma/nyakato-national au nyegezi ambapo utapata kabisa vitu unavyohitaji lodge za 15-25k pamoja na bar zile classic but affordable zina malaya wakali but affodable chukua malaya zako wa 25-50k ukainjoy utamu maana inaonekena unapenda uzinzi

na kuhusu hao ndugu zako hatujui unania gani nao ila kama unafikia kwa ndugu zako bora ufikie kwa huyo ndugu yako wa malimbe ila huko usagara ni mbali sana

na kama ukikwama zaidi usisite kututafuta masinior wa mji

karibu mwanza
 
Mandhari kama haya unayakuta Mbeya na Ulaya tuu
that_mbeya_guy_168259159618330.jpg
that_mbeya_guy_1682591596183808.jpg
that_mbeya_guy_1682591596183723.jpg
20230314_160533.jpg
 
ukiwa usagara kwenda kisesa tupitia bypass hakuna daladala ila kuna bajaji, na ukiwa kisesa mpaka kufika airport road bila kupita city center panda hiace zimendikwa kisesa to airport via nyasaka na ukiwa usagara kwenda JPM bridge usafiri upo wa kumwaga tu

na kuhusu hapo kwenye soko ambalo sio rasmi ambapo hiace zilikuwa zinaishia hope itakuwa igoma/kishiri au machinjioni/kakebe maana sijakupata vizuri unazungumzia ni maeneo yapi ila kwa kua una miaka nane haupo mjini nahisi unazungumzia hayo maeneo maana kwa kipindi hicho ndio hiace nyingi zilikuwa zinaishia na kuhusu stand haikujengwa palepale maeneo ya buzuruga bali ilihamia ahead almost 8km from buzuruga karibu kidogo na hapo unapopasema palikuwa porini (nane nane) ila kwa sahivi ni pa moto sana watu wanashusha kila siku maproject ya maana

na kuhusu pa kufikia nimeona unajiongelesha kuhusu malaika,malaika kulala kwa bei ya kuanzia ni 220 dollars so kwa ungaunga kama wewe hizo sehemu hazikuhusu labda tu uende kwa nia ya kunywa na kula ila sio kulala pengine hata kula unaweza usitoboe maana viepe lundo ulovyokuwa umezoea kuwekewa kwa 2k kwenye sinia zima kwenu uyole pale utanunua kwa 15k maji ya buku kwa 3k nakushauri tafuta maeneo ambayo utajihisi upo nyumbani kama vile igoma/nyakato-national au nyegezi ambapo utapata kabisa vitu unavyohitaji lodge za 15-25k pamoja na bar zile classic but affordable zina malaya wakali but affodable chukua malaya zako wa 25-50k ukainjoy utamu maana inaonekena unapenda uzinzi

na kuhusu hao ndugu zako hatujui unania gani nao ila kama unafikia kwa ndugu zako bora ufikie kwa huyo ndugu yako wa malimbe ila huko usagara ni mbali sana

na kama ukikwama zaidi usisite kututafuta masinior wa mji

karibu mwanza
🙏🙏
 
Back
Top Bottom