Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Tunajua Kila mji zinafungwa ,,,, isipokuwa songea
Bukoba Town
20230430_072949.jpg
20230430_072932.jpg
20230430_073041.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona wamelikumbuka shamba la mboga mboga lenye parking ya ndege

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeanza kuweweseka hata kabla ya Ujenzi Kukamilika 😁😁

Mbeya uwanja umekamilika
Songea uwanja umekamilika
Iringa ujenzi Unaendelea
Sumbawanga ujenzi umeanza
Njombe uko kwenye feasibility study
Songwe feasibility study
 
Umeanza kuweweseka hata kabla ya Ujenzi Kukamilika

Mbeya uwanja umekamilika
Songea uwanja umekamilika
Iringa ujenzi Unaendelea
Sumbawanga ujenzi umeanza
Njombe uko kwenye feasibility study
Songwe feasibility study
Huko tushatoka kitambo sisi ..
Mwanza international airport Iko kwenye last stage .
Musoma airport inamaliziwa
Bukoba completed
Geita airport completed
Shinyanga airport Iko katika renovation..
Bariadi Iko katika usanifu..........



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Geita inazidi kupendeza......watasema na wao wanazo .ila wakiombwa picha wanabaki kushangaa..
...wapi songea View attachment 2604405View attachment 2604406View attachment 2604407

Sent using Jamii Forums mobile app
Harafu hayo mataa mliyofungiwa ni mabovu yaani hayana mwanga na sensa yake inasingia Hadi Giza Nene ndio yanawaka na yanawahi kuzima..

Huku niliko Mkandarasi kaamliwa kuyang'oa yote na anabadilisha Taa Mpya..👇
IMG_20230430_165154_248.jpg
IMG_20230430_165243_734.jpg
IMG_20230430_164012_677.jpg
IMG_20230430_162252_098.jpg


Taa Mpya zinazofungwa ni potable,Zina sensa ya haraka na Zina mwanga wa kutosha ukiacha kupendeza kama zinavyoonekana hapa chini 👇
IMG_20230430_163435_613.jpg
IMG_20230430_163434_884.jpg
 

Taarifa nyingine wahusika wawe wanaona aibu Sasa! Yaani mwezi huu wa 5 tumeingia mradi upo 23 %
Halafu kwa miezi iliyobakia kumaliza 2023 ujenzi uwe umekamilika? Never ever
Ndio Kama Yale ya SGR dar Moro TRC toka 2020 wanatuambia upo 97% Sasa jiulize mradi umesimama? Yaani kwa miaka mitatu 3% imeshindwa kukamilika na ujenzi unaendelea !
Only in Tanzania
 
Makambako tc watu wanye Hela zao wanaagiza school bus za Kila aina zenye michezo ndani ya kutosha kumburudisha mtoto
maxresdefault(17).jpg

FB_IMG_16828725117855479.jpg
 

Attachments

  • FB_IMG_16828725117855479.jpg
    FB_IMG_16828725117855479.jpg
    25.7 KB · Views: 9
Back
Top Bottom