nkanziga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 700
- 1,116
Mpya ☻Toka zamani au ni hii Mpya? Aisee huko sikufahamu nitazunguka uzuri Nina siku 4 hapo Mjini.
Sent from my SM-N950U using JamiiForums mobile app
Mpya ☻Toka zamani au ni hii Mpya? Aisee huko sikufahamu nitazunguka uzuri Nina siku 4 hapo Mjini.
Balaa zitoUsisahau kuja mitaa ya IBANDA kujionea maajabu ya wasukuma ,,,,jeuri ya Hela View attachment 2601385
Nimekwambia Mwanza nafahamu,ni vile sikuwa naishi hapo mjini ndio maana sijakariri mitaa na Sasa ni mda mrefu umepita obvious Kila kitu kimebadilika..Sema hujawahi fika kabisaKwan dhambi ..mm mbona sijawahi fika mbeya na sibishi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kam ni miaka minane ,,,....ni zaman sana .. you're so welcome...njoo na camera nzuri tu ..Nimekwambia Mwanza nafahamu,ni vile sikuwa naishi hapo mjini ndio maana sijakariri mitaa na Sasa ni mda mrefu umepita obvious Kila kitu kimebadilika..
Harafu Mwanza huwezi potea na Wala haichangangi Kwa sababu Ina Barabara kuu 3 za hapo Mjini tofauti na Arusha,Dodoma,Dsm..
Miji ya Mwanza na Dodoma Huwa nikienda nahisi Niko safe na naweza Kuzunguka mtaani bila usafiri ila Arusha siwezi ,Dar labda Mjini kwingine Kuna Panya road waliwahi nikosa kule Gomz Kituo kipya kama unakuja Ulongoni so nikaichukia Dar mazima![]()
Ukiwa hapo usagara Kuna Ile Barabara ya usagara-Kisesa bypass hivi inatumika na daladala zipo? Kwamba naweza kutoka usagara nikaenda Kisesa then nirudi mjini bila usumbufu?Kam ni miaka minane ,,,....ni zaman sana .. you're so welcome...njoo na camera nzuri tu ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Bypass ya Usagara kwenda kisesa bado hamna daladala.... maybe unaweza panda gari za fela then bodaboda Hadi kisesa.....Ukiwa hapo usagara Kuna Ile Barabara ya usagara-Kisesa bypass hivi inatumika na daladala zipo? Kwamba naweza kutoka usagara nikaenda Kisesa then nirudi mjini bila usumbufu?
Pili hiyo Barabara kubwa kutoka hapo usagara kwenda Kigongo -Busisi Kuna daladala au? Maana those days ilikuwa Bado maporini makazi yalikuwa ya kutafutiza..
Harafu Ukiwa Nanenene kule maana Kwa kipindi hicho ndio makazi Mapya yalikuwa yanaanza,naweza kupanda daladala Hadi njia ya Airport bila Kupitia city centre?
Hivi hizo stand zenu ukiacha nyegezi Kwa nyuma hapa daladala zilikuwa zinaishia na kulikuwa na Soko ambalo sio rasmi panaitwaje nimepasahau na Kwa Sasa ndio Kuna stand Mpya nyingine?
Mwisho Ndugu yangu anaishi Usagra na mwingine kule SAUT iliko nimeshau jina something like Malimbe..
Ukitoka Usagara,, maeneo ambayo kulikuwa na soko ni buhongwa...japo pia Kuna stendi ya daladala za vijijini nyanshishi..kabla hujafika buhongwa... stendi ya nyegezi haijahamishwa ..wameifanyia renovation pale pale ilipokuwa...... stendi ya nyamhongolo ipo huko ikitokea kisesa au nanenane unapopasemeaUkiwa hapo usagara Kuna Ile Barabara ya usagara-Kisesa bypass hivi inatumika na daladala zipo? Kwamba naweza kutoka usagara nikaenda Kisesa then nirudi mjini bila usumbufu?
Pili hiyo Barabara kubwa kutoka hapo usagara kwenda Kigongo -Busisi Kuna daladala au? Maana those days ilikuwa Bado maporini makazi yalikuwa ya kutafutiza..
Harafu Ukiwa Nanenene kule maana Kwa kipindi hicho ndio makazi Mapya yalikuwa yanaanza,naweza kupanda daladala Hadi njia ya Airport bila Kupitia city centre?
Hivi hizo stand zenu ukiacha nyegezi Kwa nyuma hapa daladala zilikuwa zinaishia na kulikuwa na Soko ambalo sio rasmi panaitwaje nimepasahau na Kwa Sasa ndio Kuna stand Mpya nyingine?
Mwisho Ndugu yangu anaishi Usagra na mwingine kule SAUT iliko nimeshau jina something like Malimbe..
Nimekupata ,hujajibu maelezo yangu mengineUkitoka Usagara,, maeneo ambayo kulikuwa na soko ni buhongwa...japo pia Kuna stendi ya daladala za vijijini nyanshishi..kabla hujafika buhongwa... stendi ya nyegezi haijahamishwa ..wameifanyia renovation pale pale ilipokuwa...... stendi ya nyamhongolo ipo huko ikitokea kisesa au nanenane unapopasemea
Sent using Jamii Forums mobile app
NjombeNjombe hatujawaji kuwaangusha wageni
Hiyo ndo ilikuwa inazinduliwa majuzikati na mwenge ila ilisha Anza kutumika kabla Kuna nyingine wanaizindu jumapili makambakoNjombe hatujawaji kuwaangusha wageni
Ibanda - KirumbaItakuwa vizuri sana ..na kiherehere Cha kulinganisha mwanza na mazizi yako kitaisha ....note :usiondoke mwanza bila kufika haya maeneo
isamilo
Capripoint
Ilemela malaika beach
Nyasaka
Ghana
buswelu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye kupumzika Kipengere, namshauri aende Njiwa Pori pale MagomeniJPM BRIDGE
FLYOVER YA SGR MKUYUNI
STAND ZOTE MBILI
SOKO
kapumzike TUNZA BEACH RESORT
Kwenye kupumzika Kipengere, namshauri aende Njiwa Pori pale Magomeni
Umeshapona mtindio wa ubongo wako?Ibanda - Kirumba
Wanapita kimya kimya kama hawajaona kitu 😂😂🤣🤣Hiyo ndo ilikuwa inazinduliwa majuzikati na mwenge ila ilisha Anza kutumika kabla Kuna nyingine wanaizindu jumapili makambako View attachment 2601971