Kahama VS Njombe/Mafinga

Na Shabiby unamuweka wapi ☻☻☻

Tuseme wamemkuta, sasa imagine anatumia gari namba DCW as VIP na mwenzake ana ECH, DYS hata ww utapanda wapi ☻☻

Sent from my SM-N950U using JamiiForums mobile app

Kuna Shinyanga Tanga

Sent from my SM-N950U using JamiiForums mobile app
Kuna shinyanga Tanga.....hata hvyo hyo ruti ni low economic potential.... hamna Cha maana mwanza Ina trade na Tanga ....

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwamba huyu hapa πŸ‘‡
 
Kuna shinyanga Tanga.....hata hvyo hyo ruti ni low economic potential.... hamna Cha maana mwanza Ina trade na Tanga ....

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunasubiria Barabara ya Makongongolosi kwenda Tabora/Singida ifunguke hiyo itavutia VIP za kuzidi maana Ina mlima mmja tuu na Itapunguza umbali wa Kupitia Mtera
 
nkanziga Unaonekana unayajua jua Mabasi..
Je Kuna Bus zuri la kutoka Mpanda -Mwanza via Kahama?

Kama hakuna Kuna Bus gani ziri VIP ya kutoka Mpanda Hadi Mwanza? Nitakuwa na safari ya Mwanza wiki ijayo.
 
Mpanda Mwanza unapitia Tabora Nzega Tinde na Shinyanga

Panda Allys Star Bus EBU series
Panda Nyehunge DUB series
Haya ndo mazuri

Ila pia kuna NBS na Premier

Sent from my SM-N950U using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…