KONK MASTER
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 1,223
- 512
Stand ya muda boss na najua ushaona render ya stand inayojengwa so kuwa mpole tz ni kubwa mno ata Arusha wanadai stand hawana,songea stand Gani, mbeya stand gan hyo nanenane imejifia inaomba msaada, mtwara,LINDI,bukoba nao wanajengewa hivo kuwa na subira
Tunduma na mbeya ni mama mmoja,, mbeya mtu anajenga nyumba mbele Yako anakuziba at uchochoro TU wa kwendea sokon halafu anajenga nyumba tofali za tope ni ufara kabisa
Songea is 🔥🔥
Achana na hao wajinga watakupoteza
Nimekaa Songea muda mrefu tu jamaa anachoongea ni kweli. Songea mji mkongwe lakini unazidiwa na Njombe. Mji ule umedumaaAchana na hao wajinga watakupoteza
Mpaka ushasema neno mnazi wewe ni mnaziMm sio mnazi wa mabas but nmeona TU nijitahid kidogo
Songea uliyokaa wewe ni ya mwaka gani? Hata Mimi nimekaa na kusoma Songea Kwa miaka 5,Kwa Sasa Mji uko vizuri na unakimbia Kwa kasi.Nimekaa Songea muda mrefu tu jamaa anachoongea ni kweli. Songea mji mkongwe lakini unazidiwa na Njombe. Mji ule umedumaa
Hapana boss sio mfuas sana wa magar but sometime huwa naona pale nyegez vijana wapiga yowe kushangilia mabas yenye speed,,,pale hawalali na maduka hayafungwi ni open usiku kucha one day nilikuwa katika mihangaiko yangu nikafka pale saa 9: usiku nakuta vijana wamechachawa wanasubiri mabas yanakuja kutoka dar je ni ipi inatangulia 😂😂😂
Si zamani sana 2018-2022, mji ule ni mdogo na haujachangamka ukitembea kutoka pale NMB mpaka stendi ya zamani mji umeisha, sehemu za starehe ni chache kuna La chalz, nyuma yake kuna Lamori pamoja na Serengeti mji mzima. Kuna wakati nilikuwa nakuja mpaka Madaba. Ukiwauliza watu wa Madaba wana prefer zaidi kwenda Njombe kuliko Songea. Wanasema Njombe iko vizuri kwenye biashara wengine walikuwa wanaenda mpaka Makambako. Bei Makambako na Njombe zipo chini ukilinganisha na Songea na bidhaa nyingi zaidi zinapatikana sehemu hizo kuliko Songea.Songea uliyokaa wewe ni ya mwaka gani? Hata Mimi nimekaa na kusoma Songea Kwa miaka 5,Kwa Sasa Mji uko vizuri na unakimbia Kwa kasi.
Njombe ipi ndugu yangu ya kuzidi Songea?
Kiukwel umeijulia Songea ila kwenye ukubwa Songea na Njombe Songea ni kubwa sema ishu iliyopo Songea Kasi ya ujenzi ni ndogo ,mzunguko WA pesa ni mdogo biashara ni za msimu hii inafanya bei za bidhaa kuwa juu ndo maana wafanyabiashara wengi wa madaba mzigo wanachukulia makambako na wapambanaji songea ni wachache Sana Yani ule mji wengi wamejikita kwenye kilimo haitofautian Sana na njombeSi zamani sana 2018-2022, mji ule ni mdogo na haujachangamka ukitembea kutoka pale NMB mpaka stendi ya zamani mji umeisha, sehemu za starehe ni chache kuna La chalz, nyuma yake kuna Lamori pamoja na Serengeti mji mzima. Kuna wakati nilikuwa nakuja mpaka Madaba. Ukiwauliza watu wa Madaba wana prefer zaidi kwenda Njombe kuliko Songea. Wanasema Njombe iko vizuri kwenye biashara wengine walikuwa wanaenda mpaka Makambako. Bei Makambako na Njombe zipo chini ukilinganisha na Songea na bidhaa nyingi zaidi zinapatikana sehemu hizo kuliko Songea.
Wenye maduka yao pale Madaba walikuwa wanaenda Njombe na Makambako kufanya manunuzi.
Hotel nzuri Njombe ni nyingi kuliko Songea.
Madaba ni Kijiji jirani na Njombe huko ,ulitaka waende wapi?Si zamani sana 2018-2022, mji ule ni mdogo na haujachangamka ukitembea kutoka pale NMB mpaka stendi ya zamani mji umeisha, sehemu za starehe ni chache kuna La chalz, nyuma yake kuna Lamori pamoja na Serengeti mji mzima. Kuna wakati nilikuwa nakuja mpaka Madaba. Ukiwauliza watu wa Madaba wana prefer zaidi kwenda Njombe kuliko Songea. Wanasema Njombe iko vizuri kwenye biashara wengine walikuwa wanaenda mpaka Makambako. Bei Makambako na Njombe zipo chini ukilinganisha na Songea na bidhaa nyingi zaidi zinapatikana sehemu hizo kuliko Songea.
Wenye maduka yao pale Madaba walikuwa wanaenda Njombe na Makambako kufanya manunuzi.
Hotel nzuri Njombe ni nyingi kuliko Songea.
Kutoka Madaba-Songea ni km 116 na kutoka Madaba-Njombe ni km 119. Huo ujirani unaoongelea ni upi?Madaba ni Kijiji jirani na Njombe huko ,ulitaka waende wapi?
Inaonekana unaijua Songea, kuna wengine wanabisha tu bila kuwa na fact. Kwa kweli Songea purchasing power ni ndogo sana. Watu wanafanya biashara kwa kujuana, ukiwa mgeni ukaanzisha biashara kupata wateja ni vigumu sana. Nafikiri ni kwa sababu wageni ni wachacheKiukwel umeijulia Songea ila kwenye ukubwa Songea na Njombe Songea ni kubwa sema ishu iliyopo Songea Kasi ya ujenzi ni ndogo ,mzunguko WA pesa ni mdogo biashara ni za msimu hii inafanya bei za bidhaa kuwa juu ndo maana wafanyabiashara wengi wa madaba mzigo wanachukulia makambako na wapambanaji songea ni wachache Sana Yani ule mji wengi wamejikita kwenye kilimo haitofautian Sana na njombe