Bukoba ni mji au kata mji gani area yake sawa na kata jifunze jiji la dodomaWe wa ajabu kweli kahama nayo ni kama huko kusini wamechukua eneo kubwa kuongeza idadi ya watu ila population density kwa bukoba ni hovyo, miji gani mmejaza vichaka. Bukoba ikiongeza eneo liwe kubwa kama miji yenu hiyo hakuna wa kusogelea. Kuna kata nyingi ziko bukoba dc zimeungana na bukoba Mc
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Wap hakupo hivyo mzee ukija makambako nayo imeungana na kata kibao makazi na njombe dc na Wangingombe eneo lenu limezwa na ziwa na milima ko Kuya fikia hayo maeneo mengine ni ndotoWe wa ajabu kweli kahama nayo ni kama huko kusini wamechukua eneo kubwa kuongeza idadi ya watu ila population density kwa bukoba ni hovyo, miji gani mmejaza vichaka. Bukoba ikiongeza eneo liwe kubwa kama miji yenu hiyo hakuna wa kusogelea. Kuna kata nyingi ziko bukoba dc zimeungana na bukoba Mc
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Hebu acha ujinga...NNa
Narudia Tena eneo hili kamwe bukoba Yako hawezi kuja kulizidi tuna chukulia centre ya makambako kutoka makambako hadi wangama mtwango km30 makambako hadi ilembula km 30 ,makambako igwachanya km42 makambako saja km 20 a hizo kupitia main road za songea road ,mbeya road na iringa road full makazi View attachment 2597700
Bro Kwan jombe ni manispaa?Wap hakupo hivyo mzee ukija makambako nayo imeungana na kata kibao makazi na njombe dc na Wangingombe eneo lenu limezwa na ziwa na milima ko Kuya fikia hayo maeneo mengine ni ndoto
Hebu acha ujinga...
Huwezi linganisha Municipality ya Bukoba na vimji slums zenu uchwara vya huko kusini...sijui njombe, makambako, tunduma zote hizo ni slums tu hakuna lolote..
Hebu tafuta definition ya mji na uelewe maana ya mji...mji sio kuwa na vijumba na watu tu mji ni kuwa na recreation parks, well organized city centre, transport facilities, financials nk hayo mambo Bukoba inayo ( isipokuwa stendi nzr)ndo maana imekuwa mji kabla ya uhuru na manispaa kitambo sana...
Bro Kwan jombe ni manispaa?
Ndo nachowaambia hawa huku hatuchukui mapori na vichaka eti ni mjiBukoba ilishajaa kitambo...sasa Bukoba vijijini ndo imeanza kumezwa...si kwa hii population density aisee
Wanaongeza kata tisa zinazozunguka hii municipality....
Bukoba ni mji au kata mji gani area yake sawa na kata jifunze jiji la dodoma View attachment 2597845
Na ndo nachokataa kuchukua eneo lote hilo lenye mapori ukaita mji, la sivyo na sisi tuunganishe bukoba Mc na dc tuite ni mji mkubwa kwa kigezo cha watuHaya ukichukua bukoba mc Ina 144000 plus bukoba dc Ina 322000 sawa na laki nne plus Sasa inatofauti gani na population iliyopo zone ya makambako au ya kahama mc
Na ndo nachokataa kuchukua eneo lote hilo lenye mapori ukaita mji, la sivyo na sisi tuunganishe bukoba Mc na dc tuite ni mji mkubwa kwa kigezo cha watuHaya ukichukua bukoba mc Ina 144000 plus bukoba dc Ina 322000 sawa na laki nne plus Sasa inatofauti gani na population iliyopo zone ya makambako au ya kahama mc
Kama mji una future unahitaji kufanya hivyo Kwan ardhi haiongezeki ila watu wanaongezeka Na hili limefanyika jiji la dodoma Wana km 2700 plus za mraba Na ukiangalia master plan Yao Kila zone Kuna project zake na hii inatoka na na jiografia ya maeneo hayo yalivo kaa mengine huwezi kuiunganisha kutokana na milima misitu umbali ko yanayowezekana kuunganishwa ni bora zaidi mfano makambako zone ,kahama Kuna mbeya ,tunduma haya maeneo yanauwezo wa kuungana Kwan makaz yanaingiliana mfano mbeya na mbaliziNa ndo nachokataa kuchukua eneo lote hilo lenye mapori ukaita mji, la sivyo na sisi tuunganishe bukoba Mc na dc tuite ni mji mkubwa kwa kigezo cha watu
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Sio future bali ni Sera kwa miji inayopangwa sasa hivi tofauti na miji ya zamani, mfano angalia mji wa moshi au mwanza sasa hivi wanahangaika kuichukua kisesa kama ambavyo bukoba imeanza mipango ya kuichukua tarafa moja kutoka bukoba dcKama mji una future unahitaji kufanya hivyo Kwan ardhi haiongezeki ila watu wanaongezeka Na hili limefanyika jiji la dodoma Wana km 2700 plus za mraba Na ukiangalia master plan Yao Kila zone Kuna project zake na hii inatoka na na jiografia ya maeneo hayo yalivo kaa mengine huwezi kuiunganisha kutokana na milima misitu umbali ko yanayowezekana kuunganishwa ni bora zaidi mfano makambako zone ,kahama Kuna mbeya ,tunduma haya maeneo yanauwezo wa kuungana Kwan makaz yanaingiliana mfano mbeya na mbalizi View attachment 2597875
Hakika, kwa sasa Mwanza hamna maeneo ukisikia mtu amenunua kiwanja ujue ni huko Magu au Misungwi, jiji la mwanza tuna uhaba wa maeneo.Sio future bali ni Sera kwa miji inayopangwa sasa hivi tofauti na miji ya zamani, mfano angalia mji wa moshi au mwanza sasa hivi wanahangaika kuichukua kisesa kama ambavyo bukoba imeanza mipango ya kuichukua tarafa moja kutoka bukoba dc
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Jiji la mwanza linahitaji kutanuliwa maeneo maana linakua kwa kasi tofauti na huko kwingineHakika, kwa sasa Mwanza hamna maeneo ukisikia mtu amenunua kiwanja ujue ni huko Magu au Misungwi, jiji la mwanza tuna uhaba wa maeneo.
Sasa hatuna maeneo na tulihaidiwa kupewa manispaa mpya ili kutanua maeneo lakini mpaka sasa naona kimya.Jiji la mwanza linahitaji kutanuliwa maeneo maana linakua kwa kasi tofauti na huko kwingine
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Nafikiri ni kwa sababu serikali ya mama haitaki kuanzisha maeneo mapya ya kiutawalaSasa hatuna maeneo na tulihaidiwa kupewa manispaa mpya ili kutanua maeneo lakini mpaka sasa naona kimya.