Mafinga kwa kata za mjin naona zimefikisha watu 95000 imezidi kidogo kata za Njombe mjini ambayo ina 90300 na kata zilizopo town Mafinga ni boma,upendo, kinyanambo,iwambi na changalawe zipo tano nne zipo kijijini mishemishe za mjini zinafanana na Njombe mjini yenye kata tatu town
InajitahidMafinga kwa kata za mjin naona zimefikisha watu 95000 imezidi kidogo kata za Njombe mjini ambayo ina 90300 na kata zilizopo town Mafinga ni boma,upendo, kinyanambo,iwambi na changalawe zipo tano nne zipo kijijini mishemishe za mjini zinafanana na Njombe mjini yenye kata tatu town
Ni moja ya jitihada nzuri ila wangeongeza hata km 20 ili zifikike kidegembye ambako ndiko wamejenga ofisi za njombe dc maana hizo km 25 za kutoka kibena hadi nyombo hapo pote ni msitu wa tanwat ndo umetawala Yani ni sawa na kipande Cha wangama hadi kibena hata hivyo Agri connect ikiwasaidia Ile Barabara ya mtwango hadi nyombo km 25 itawaokoa Sana watu wa lupembe maana hii ndo Ina watu na makazi ya kutosha na viwanda vya kutoshaMkoa wa Kimkakati lazima ufunguliwe
Kuongeza ni Hadi mwaka 2024/25 ikutokana na BajetiNi moja ya jitihada nzuri ila wangeongeza hata km 20 ili zifikike kidegembye ambako ndiko wamejenga ofisi za njombe dc maana hizo km 25 za kutoka kibena hadi nyombo hapo pote ni msitu wa tanwat ndo umetawala Yani ni sawa na kipande Cha wangama hadi kibena hata hivyo Agri connect ikiwasaidia Ile Barabara ya mtwango hadi nyombo km 25 itawaokoa Sana watu wa lupembe maana hii ndo Ina watu na makazi ya kutosha na viwanda vya kutosha
SONGEA hii au Kuna nyingineSongea Municipal haiwezi fanana na Kijiji chochote Cha Kanda ya Ziwa View attachment 2593257
Hata mimi pia nina hilo tatizo.
Serikali imetutenga kwa sasa, ni kama tumewekwa pending, hatuna maajabu yoyote kwasasa, naomba uliwasilishe mwanza jiji tunaitaji barabara hasa ile ya kenyatta.Hivi Mwanza na Lake zone Kuna mradi gani wa maana Serikali inatekeleza?