Kahama VS Njombe/Mafinga

Ishu ni miundombinu mfano tarafa ya njombe mjini yenye kata tatu za njombe mjini ,ramadhani na mji mwema Ina watu 90350 lakini miundombinu yake ipo vizuri maana kata 10 zipo vijijini
Asaa ushasema zipo Vijijini means kuna sehem Mapori then Vijiji zen mji itaachua muda mrefu ili hayo maeneo yawe Urbanised lakin Katoro tayar na hizo kata almost zote zimekatwa kutoka katoro means ni kata za kiutawala but still zote belongs to Katoro
 
Wapi hakuna future? Unaweza Taja future za Kahama?
Chuki zako TU za kibena Wala hazibadilishi ukweli Wala kupunguza chochote sisi hatuhitaji kupigwa stater ndo tutembee bal tna move forward watajileta wenyewe sio kama kusini ad mlie oooh sisi tumetengwa majengo marefu hatna this is stupidity mind, lake zone ni KAZI KAZI hatujirembi kupata masponser kama pwani,Arusha na songea
 
T
Tupia na ya Iringa na mafinga
 
Watu husongamana palipo na fursa bro natolea mfano mji wa katoro ukifika unatazan mkoan au wilayan kumbe ni mji umechipukia lakin watu wanakaa kwenye ule mji ni wafanya biashara TU ukifika Kam una future lazima uwekeze,,,ila kwako vile unachuki zako binafs za kikabila Baki nazo utazikwa Nazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…