ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,308
- 88,340
- Thread starter
-
- #15,381
Kimeshajengwa au Bado?
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAOFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAAHALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO
Toggle navigation
Kituo kikubwa cha ukaguzi wa magari kujengwa katika Halmashauri ya Mji Makambako
Tarehe Iliyowekwa: August 11th, 2022
Na. Lina Sanga
Kituo kikubwa cha ukaguzi wa magari kinatarajiwa kujengwa katika Halmashauri ya Mji Makambako,kitachotumika kufanya ukaguzi wa magari yote yanayoelekea mbeya na Songea.
Hayo yameelezwa na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi,Mhe. Makame Mbalawa alipokuwa akitoa salamu kwa wakazi wa Halmashauri ya Mji Makambako leo,waliofika kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Samia Suluhu Hassan.
Mhe. Mbalawa amesema kuwa eneo la ujenzi wa kituo hicho lenye ukubwa wa hekta 200 limechukuliwa na jumla ya mil. 870 zimelipwa fidia kwa wamiliki wa maeneo hayo na mil. 2.9 Wizara inajipanga kuwalipa wamiliki walio baki.
Ametoa wito kwa wamiliki wa maeneo hayo ambayo yamechukuliwa kwa ajili ya ujenzi wa kituo hicho,wanaostahili kulipwa fidia kwa mujibu wa sheria watalipwa kwani fedha zao zipo hawatadhulumiwa.
Ameongeza kuwa jumla jumla ya bil. 2.2 zimetolewa kwa ajili ya matengenezo ya barabara za mjini na Serikali itaendelea kuleta fedha hizo kadri inavyowezekana ili Mji wa Makambako uondokane na Vumbi kwa kujenga barabara za lami.
Video
TEHAMA ni Msingi wa Taifa Endelevu, Tuitumie kwa Usahihi na Uwajibikaji . Makambako TC, 2021
Video zaidi
Kurasa za Karibu
- Fursa za Usafirishaji
- Orodha ya Madiwani
- Uzalishaji wa Umeme wa Upepo
- Organisation Structure
- Fursa za Biashara
- By Laws
- Permanent Committee
Tovuti Mashuhuri
- Tovuti ya Ikulu ya Rais
- Tovuti ya Ofisi ya Utumishi
- Tovuti ya TAMISEMI
- Tovuti ya Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
- Tovuti Kuu ya Serikali
- Open Data Tanzania
Wasomaji mbalimbali duniani
Idadi ya Wasomaji
free HitCounter
Ramani ya Eneo
Wasiliana nasi
Mawasiliano Mengine
- Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0785635383
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki Β©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa
Original text
Contribute a better translation
Saiz ndo wapo kwenye maandalizi wanabomoa nyumba zilizopo eneo Hilo fidia walimalizia mwaka jana mwez wa 12Kimeshajengwa au Bado?
Weka hiyo pdf humuMwanza na Kahama mpo?
Tactic Mbeya
-Km 24.8 za lami za mtaani
-Stand kubwa 1,
-Kituo Kidogo Cha daladala 1
-Masoko 3,
-Mifereji ya maji km6.5
Kwa miradi hiyo,Sura ya Jiji la Mbeya itabadilisa sana .On top of that Kuna km 5 za lami za TanRoads,km 4 za Tarura na Kuna Njia 4 tena Zenye walk ways..
By 2025 Jiji kitakuwa zuri sana tofauti na hapo awali.View attachment 2587554
Weka hiyo pdf humu
Vivuko viko wapNaona Kuna watu wamedanganyishiwa na vivuko vya Sgr [emoji16][emoji16]
Kama dodoma walivyodanganywana vivuko vya sgrNaona Kuna watu wamedanganyishiwa na vivuko vya Sgr ππ
Oya kamanda sunk mzee wa maconnection tuambie lini miradi ya tactic itaanza tumechoka kusubiriNaona Kuna watu wamedanganyishiwa na vivuko vya Sgr ππ
Mwanza tacticsMwanza na Kahama mpo?
Tactic Mbeya
-Km 24.8 za lami za mtaani
-Stand kubwa 1,
-Kituo Kidogo Cha daladala 1
-Masoko 3,
-Mifereji ya maji km6.5
On top of that Kuna km 5 za lami za TanRoads,km 4 za Tarura na Kuna Barabara ya Njia 4 tena Zenye walk ways..
Kwa miradi hiyo sura ya Jiji la Mbeya inaenda kubadilika sana,
By 2025 Jiji kitakuwa zuri sana tofauti na hapo awali.View attachment 2587554
Haya umeyatoa kwenye source ipi ikiwa Tamisemi hawajayataja popote? ππMwanza tactics
Nyamagana...
Km 14 za lami
Soko kuu la samaki.
Kingo za kisasa za mto mirongo
Ilemela
Km 16 za lami
Soko kuu kirumba
Wakati mnaendea kucheka kujengewa stendi za msaada..
Sent using Jamii Forums mobile app
We kweli unachanganyikiwa...kivuko kipi Cha SGR ......SGR na TAMISEMI wapi wapi .Haya umeyatoa kwenye source ipi ikiwa Tamisemi hawajayataja popote? [emoji16][emoji16]
Tamisemi wanasema kingine na wewe unasema vya kwako.In fact Kwa Barabara Ilemela na Mwanza cc ni km 29.7 ,soko 1 na kivuko Cha Sgr
Kwan ukijumlisha 14 na 16 unapata ngapi [emoji12]Haya umeyatoa kwenye source ipi ikiwa Tamisemi hawajayataja popote? [emoji16][emoji16]
Tamisemi wanasema kingine na wewe unasema vya kwako.In fact Kwa Barabara Ilemela na Mwanza cc ni km 29.7 ,soko 1 na kivuko Cha Sgr
ππππ Vituo vya ukaguzi navyo unapost we jamaa vipi wakat wengine vipo miaka kadhaa ad mji mdogo wa katoro huko geita wa kituo kidogo Cha ukaguzi wa magari
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAOFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAAHALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO
Toggle navigation
Kituo kikubwa cha ukaguzi wa magari kujengwa katika Halmashauri ya Mji Makambako
Tarehe Iliyowekwa: August 11th, 2022
Na. Lina Sanga
Kituo kikubwa cha ukaguzi wa magari kinatarajiwa kujengwa katika Halmashauri ya Mji Makambako,kitachotumika kufanya ukaguzi wa magari yote yanayoelekea mbeya na Songea.
Hayo yameelezwa na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi,Mhe. Makame Mbalawa alipokuwa akitoa salamu kwa wakazi wa Halmashauri ya Mji Makambako leo,waliofika kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Samia Suluhu Hassan.
Mhe. Mbalawa amesema kuwa eneo la ujenzi wa kituo hicho lenye ukubwa wa hekta 200 limechukuliwa na jumla ya mil. 870 zimelipwa fidia kwa wamiliki wa maeneo hayo na mil. 2.9 Wizara inajipanga kuwalipa wamiliki walio baki.
Ametoa wito kwa wamiliki wa maeneo hayo ambayo yamechukuliwa kwa ajili ya ujenzi wa kituo hicho,wanaostahili kulipwa fidia kwa mujibu wa sheria watalipwa kwani fedha zao zipo hawatadhulumiwa.
Ameongeza kuwa jumla jumla ya bil. 2.2 zimetolewa kwa ajili ya matengenezo ya barabara za mjini na Serikali itaendelea kuleta fedha hizo kadri inavyowezekana ili Mji wa Makambako uondokane na Vumbi kwa kujenga barabara za lami.
Video
TEHAMA ni Msingi wa Taifa Endelevu, Tuitumie kwa Usahihi na Uwajibikaji . Makambako TC, 2021
Video zaidi
Kurasa za Karibu
- Fursa za Usafirishaji
- Orodha ya Madiwani
- Uzalishaji wa Umeme wa Upepo
- Organisation Structure
- Fursa za Biashara
- By Laws
- Permanent Committee
Tovuti Mashuhuri
- Tovuti ya Ikulu ya Rais
- Tovuti ya Ofisi ya Utumishi
- Tovuti ya TAMISEMI
- Tovuti ya Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
- Tovuti Kuu ya Serikali
- Open Data Tanzania
Wasomaji mbalimbali duniani
Idadi ya Wasomaji
free HitCounter
Ramani ya Eneo
Wasiliana nasi
Mawasiliano Mengine
- Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0785635383
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki Β©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa
Original text
Contribute a better translation
Mwanza jumla imepewa km 30 maana 14 za NYAMAGANA na ILEMELA 16Mwanza na Kahama mpo?
Tactic Mbeya
-Km 24.8 za lami za mtaani
-Stand kubwa 1,
-Kituo Kidogo Cha daladala 1
-Masoko 3,
-Mifereji ya maji km6.5
On top of that Kuna km 5 za lami za TanRoads,km 4 za Tarura na Kuna Barabara ya Njia 4 tena Zenye walk ways..
Kwa miradi hiyo sura ya Jiji la Mbeya inaenda kubadilika sana,
By 2025 Jiji kitakuwa zuri sana tofauti na hapo awali.View attachment 2587554
Mwanza jumla imepewa km 30 maana 14 za NYAMAGANA na ILEMELA 15 pointMwanza na Kahama mpo?
Tactic Mbeya
-Km 24.8 za lami za mtaani
-Stand kubwa 1,
-Kituo Kidogo Cha daladala 1
-Masoko 3,
-Mifereji ya maji km6.5
On top of that Kuna km 5 za lami za TanRoads,km 4 za Tarura na Kuna Barabara ya Njia 4 tena Zenye walk ways..
Kwa miradi hiyo sura ya Jiji la Mbeya inaenda kubadilika sana,
By 2025 Jiji kitakuwa zuri sana tofauti na hapo awali.View attachment 2587554
Rudia kusoma,mwanza soko moja, na ilemela moja jumla masoko mawili.Haya umeyatoa kwenye source ipi ikiwa Tamisemi hawajayataja popote? ππ
Tamisemi wanasema kingine na wewe unasema vya kwako.In fact Kwa Barabara Ilemela na Mwanza cc ni km 29.7 ,soko 1 na kivuko Cha Sgr
Wewe mbona Huwa unapenda kutunga uongo sana,hizo 16 na 14 umezitia Wizara gani?
Unaongea Nini ww Kanda ya ziwa kinajengwa nyakanazi jaribu kupitia hata kwenye magari ya transit wamekuwekea stickerππππ Vituo vya ukaguzi navyo unapost we jamaa vipi wakat wengine vipo miaka kadhaa ad mji mdogo wa katoro huko geita wa kituo kidogo Cha ukaguzi wa magari