Kahama VS Njombe/Mafinga

Mbeya foam
P.O BOX
DAR ES SALAAM
Wivu Hadi Unajitoa ufahanu,umeona anuani ngapi hapo? 😁😁

Watu wa Mbeya wanapenda sana kwao ndio maana wanauza brand kubwa Mbeya foam..

Soma tena ,Dar ni branch tuu kama Dodoma,hapo Kuna anuani mbili..

Unadhani Kwa nini kampuni haikuita Dar foam ikaita Mbeya foam?
 
Ya mbeya ipo wap
hapa
 
Nionyeshe 2x 1 ya Mbeya 😁😁😁

Soma hiyooooo πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Another kituko 😁😁.Mwanza mnahangaika sana kujaribu kuendana na hadhi ya Jiji 🀣🀣
Unajichekesha lakini moyoni unaumia, lakini vumilia ndio ukubwa wa jiji lenyewe lenye vina saba vya Las Vegas.
 
Ili kufanya mji wa makambako kuwa logistic centre tayar tanroad wanajenga km zaidi 5 mjini na mkandarasi yupo kazini na TARURA wapo wanajenga km 4 mambo ni moto na mradi wa TACTICS haujaanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…